Recent content by Chriss Nathan

  1. Chriss Nathan

    JamiiForums Tanzania Nilipotumiwa ujumbe uliosema "Njoo saa nne usiku mume wangu kasafiri"

    Ukimuona mwambie.. Mke wangu kasafir
  2. Chriss Nathan

    JamiiForums Tanzania Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Duh hatareeee sana, Bora nikatafute mtoto nimlee kuliko kuleta dume lingine lichape Mke wangu
  3. Chriss Nathan

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Wewe kuna baadhi ya mataifa hawana njaa ya ngono kama sisi
  4. Chriss Nathan

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Ndo maisha ya familia nying Africa.... Watu wanadhan kila mwanaume ana tamaa kama walivyo wengine, Wengine ni Wacha Mungu na wanarizika na wake zao...
  5. Chriss Nathan

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Kama anafahamu fika yule ni Mke wako na bado anafanya ivyo bhas anakukosea sana... Mvute pembeni mwambie kiume tu akizidisha mazoea bunu mbunu nyingine
  6. Chriss Nathan

    JamiiForums Tanzania Chapati, vitumbua, sambusa, maandazi kufungwa kwenye magazeti, Maafisa Afya mnamtazamo gani kiafya?

    Nadhani gazeti ni kavu , hivyo halitoi mazingira kwa wadudu kuishi/kukaa kwenye gazeti kwa muda mrefu... Ivyo ndo maana kutoka miaka ya '90 mpaka leo watu wanatumia na hakuna madhara
Back
Top Bottom