Recent content by Chriss Jericho

  1. Chriss Jericho

    Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Niliwahi msikia mwalimu mwakasege anasema muda wa kujifungua huwa kuna vita kubwa sana kiroho huu ndo muda shetani uchukua vyake muda huo ni vyema kwa wanaume tuombe sana wakati wake zetu wakijifungua
  2. Chriss Jericho

    Millard Ayo unatakiwa ubadilike la sivyo utapoteza mashabiki ,Mambo ya clouds usiyachanganye na blogs zako

    Mm nilikuwa mpenzi mno wa millardayo, kiukweli sasa hivi ule mvuto wa miaka miwili nyuma wa millard ayo umepungua kiasi fulani, kuna watu humu walishamshauri hapunguze video kwenye habari zake na leo mkuu amemshauri atemane na mkumbo wa clouds, kujikwaa kupo ajicheki asimame aendelee, walaji wa...
  3. Chriss Jericho

    Msanii Joslin anauza chipsi Sinza Kumekucha

    Yeah nimemwona na nilitaka kula hapo nikakosa pa kukaa inabidi usubiri mtu amalize kula atoke upate nafasi
  4. Chriss Jericho

    Msanii Joslin anauza chipsi Sinza Kumekucha

    Ana wateja wengi sana, mpk pa kukaa muda mwingine unakosa, good target amefanya, hongeta sana joslin
  5. Chriss Jericho

    Nabii Olivia akiri kumuamuru muumini wake kupiga kelele kama ishara ya kupokea neno

    Ndo hivi mnavyodanganya watu ehee acha kutetea wizi na uwongo
  6. Chriss Jericho

    Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

    Hii saa bongo 5 wamesema ni million 65 hivi huku 600 wasafi baby [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo 600 uwongo mtupu kama ile mimba ya huyu mzungu iliyayuka ghafla na yenyewe
  7. Chriss Jericho

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ukijua unakuwa na uhuru wa kuongea chochote..ehee si umeshajua ila kama unaiigiza unajua hauwezi kuwa na courage kama hii
  8. Chriss Jericho

    Msaada: Mtoto wangu anatukana sana matusi ya nguoni nifanyaje ili aache?

    Uko sahihi kbs mkuu ulimwengu ni mwalimu bora sana alafu bakora zake ni kali mno mno, mwalimu huyu acheki na mtu, mkanye mtoto kwenye umri huu ukishindwa utakuja shuhudia mwalimu dunia anavyomkanya mtoto wako
  9. Chriss Jericho

    Natafuta soko la Asali Mbichi Dar es salaam, ipo nyingi

    Mkuu "ni sahihi" nimekosea kuandika "sio sahihi"
  10. Chriss Jericho

    Natafuta soko la Asali Mbichi Dar es salaam, ipo nyingi

    Kusafirisha Asali ulaya Asali inatakiwa ubora wa hali ya juu sana sana unachosema mkuu no sahihi
  11. Chriss Jericho

    Huwa nawashangaa na nawaonea sana huruma Wanaume wenye hizi tabia....

    Wako pia tutamla tu vizuri, kiutu uzima huwa hatuchunguzi bata mambo mengine unayaacha tu yanapita
  12. Chriss Jericho

    Huwa nawashangaa na nawaonea sana huruma Wanaume wenye hizi tabia....

    Sasa bora tu ununue yale masex toy ukae nalo ndani ufaidi mwenyewe hatuwezi kulifaidi wa nje, lkn hivi hivi awe amezalishwa au hajazalishwa wajanja watamla tu,
Back
Top Bottom