Habari wana JF.
Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana.
Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo.
Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
Habari za zenu wakuu.
Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana.
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
Nimekuelewa vizuri sana.Unachojaribu kusema hapo hakipo maana uyo mwanafunzi baada ya kupelekwa hosptalini dr kathibitisha kuwa kifo cha uyo mwanafunzi kimesababishwa na kipigo na sio matatizo ya moyo wala magonjwa mengine.Wanafunzi kuwa na magonjwa na kipigo ni vitu viwili tofauti.Hata uyo...
You better keep quite sio kuongea huu ujinga.Eti jumba bovu limemuangukia mwalimu,mwalimu ni kama mzazi,inatakiwa watoto ukae nao kwa akili uwalee kama wanao na pale wanapokosea unatoa adhabu ya kawaida,mimi sidhani kama kumchapa mtoto kikatili ndio kutabadilisha tabia yake.Tusiongelee ili swala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.