Recent content by Chris BL

  1. Chris BL

    Biashara ya kuuza mtumba

    Balo la viatu vya watoto linabei gani gred A
  2. Chris BL

    Kama mtu anakopa benki 5 tofauti za Tanzania na akaweza kukimbia nchi bila kugundulika ni ishara kwamba TISS na vyombo vingine vimelala

    Nilisikia Bi Mkubwa akisema Mawaziri mtusaidie huko nikawaza wale Mawaziri aliowakataa Uncle ndio wako pale kuna msaada kweli pale?! Mkopaji anajulikana kwa picha na dhamana zake hata kama ni fake lakin mkono mlefu unaweza kufanya kitu hapo si walipiga picha na doc zipo
  3. Chris BL

    Nini hutokea hasa tunapokunywa energy drinks?

    Nimekoma kuyatumia minipiga chupa moja na nusu kwa muda mfupi tu sjui kutakuchaje leo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Chris BL

    Maendeleo hayana chama; Rais Magufuli amjibu vibaya mwananchi aliyeelezea tatizo la maji jimbo la Momba(CHADEMA)

    Huyu mwanamke ana bahati sana Mkuu amezeeka Hiiiiiiiiiiiiii!![emoji16]
  5. Chris BL

    Wanaume wa JF mna shida gani?

    Mwanaume unao wataka mbona tupo sema umeshindwa kugundua kama kuna vijana wa miaka ya 90 nakuendele ndio wanaosumbua kichwa yako amini nakuambia mtu mzima kama mimi hakuna asye mwelewa labda awe mlevi wa majani
  6. Chris BL

    Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

    Hahahahahah ni mapema mno kulaum minaona hizi lawama muda wake haujafika sababu bado anayo nafasi ya kuyafanya yote mnayopendekeza yangefanywa na sio uwanja iwapo hata ludi tena kule Whyte house hata mkilaumu mtakuwa sahihi kabisa naamini tutashuhudia mengi zaidi ya uwanja tuombeni Mungu...
  7. Chris BL

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Bado nikipata nitakutumia
  8. Chris BL

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Poa poa kiongozi
  9. Chris BL

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo za jeshi la sungusungu la wasukuma wasalamaa
  10. Chris BL

    Qatar Airways kuongeza ruti ya kutokea KIA kuanzia tarehe 01/06/2019

    Inaonyesha unapingana na serikali kununua ndege ulitaka hao ndio watawale anga la tanzania ndio useme serikali inachapa kazi
  11. Chris BL

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Lazima atakuwa na uhakika na jibu lake huwezi kusimama mbele hapo dunia nzima inakuangalia uongee kitu ambacho ukijui labda kama ameuchukia huo uwaziri lakini wa wabunge wote wakipata ubunge ndoto yao ni kupata uwaziri na badaye urais ngoja tuone mwisho wa picture Sent using Jamii Forums...
  12. Chris BL

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Kama kweli zipo kwenye makontena na document zinaonyesha zimeingia labda miezi kadhaa ilipita basi CAG atakuwa ni muongo au ina wezekana alipotoka kukagua ndio kontena zikaingia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Chris BL

    ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Hii ni habari mbaya sana katika kipindi hiki cha pasaka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom