Mkuu wale Viongozi mahiri wa CCM wenye kufuata na kutii MIIKO YA CHAMA hawapo, wame staafu; waluopo ni vijana ambao kuingia kwenye Chama na kuwa Wanachama masharti yake ni kujua kusoma na kuandika.
Mkuu pamoja na maelezo yako yaliyo shiba, lakini para ya mwisho ya hoja yako umetu kumbusha mbali sana na kutupa raha na faraja ulipo tukumbusha juu ya mchezaji ambaye kweli alikuwa na kipaji hasa cha kuzaliwa nacho cha mpira wa miguu; Marehemu "Gagarino". huyu nadhani alituteka wengi kwa...
Mkuu hakukosea! Amesema "itaonja umauti" ndio na sio kufa. Hii ina maana, kwamba kwa vile nafsi ipo kwenye muhumili wa huyo binadamu basi ni sharti adhbitishe kuondolewa kwa uhai wa mtu wake.
Mkuu ona hoja yako No 84 katika crips yako.. Wahenga wana sema ukiwa mwongo ni lazima uwe na uwezo wa kutunza kumbukumbu za kauli yako, nyie ni wasahaulifu, leo mtasema hiki na kesho mtasema kile. Inabidi muondoe huo ujinga maana unaondosheka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.