Recent content by choupa moting

  1. choupa moting

    Natafuta King'amuzi cha DSTV

    Nichek 0621164143 kiko kijich Dar. Kiko na dish lake.
  2. choupa moting

    Anahitajika fundi mzuri wa contemporary Mbeya

    Wakuu habarin za kazi. Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja. Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha imeanza kuvuja hivyo naomba tuwasiliane ili aje kufix. Anichek 0621 164 143.
  3. choupa moting

    Kwanini wimbi la wadada wasomi kukosa wanaume wa kuwaoa linaongezeka?

    Wanaume wanataka kuowa sio kuolewa. Mwanamke msomi anataka muowane na mambo yake ya haki sawa.
  4. choupa moting

    Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

    Wakuu habarini za asubuhi, Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae. Naomba anayejua aniambie bei zake au ushaur wowote kuhusu hiz bati ili nikamilishe ndoto zangu. Natanguliza...
  5. choupa moting

    Naombeni ushauri wa chaguo sahihi kati ya haya

    Yaan nataman hata ningekua na namba yako nikupigie nkupe ushauri, kuandika hapa pekee haitosh. Ila all in all usipende maisha ya kuiga jarib kuwa na maisha yako.
  6. choupa moting

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    We jamaa huna akili na ndio maana miaka 41. Bado unamlilia babako. Sasa si ungejiongeza ktk ile hela ya kununua nyumba walau ungeweka chako cha juu ili basi biashara ikishafanyika upate chako cha juu mchezo uishe.
  7. choupa moting

    Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Ni mavaz yanachangia. Zaman wanawake walikua wanajistir so yalikua hayaonekani siku hz mtu anavyaa atakavyoamka hvyo ni rahis kuonekana misambwanda
  8. choupa moting

    Msaada tiba: shahawa haziruki!

    Anataka nifanye km wale wa kwenye movie za porn[emoji23]
  9. choupa moting

    Halotel na Wizi wa Data za wateja TCRA Fuatilieni

    Hawa jamaa ni mafala sana. Mchana wa leo nimejiunga na kirushi cha 51000 DSTV mpaka mida hii wananiambia malipo yako pending. Wangese sana hawa watu.
  10. choupa moting

    Tsh Milioni 15 inaweza kujenga nyumba kama hii?

    Mkuu inategemea location unayoish. Kuna maeneo hyo hela unajenga na gorofa kabsa ila ukiwa DSM inaishia kupata kiwanja tu.
  11. choupa moting

    Msasani, eneo la kimkakati la kingono/ ufuska/zinaa

    Mimi kwa DSM sijaona sehem kuna mafuska na malaya kama TBT. 50% ya madada wanaojiuza mitandaoni na maofisini wanaishi TBT.
  12. choupa moting

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Tafiti yangu niliyoifanya mwaka jana nimebaini kwamba Malaya na wadangaji wengi ni single mothers. Soon nitaileta hapa hii tafiti.
  13. choupa moting

    Mdada uliesahau mfuko wenye viatu kwenye daladala za Tabata Chang'ombe jana usiku mzigo wako ninao

    Kwa namna ulivyomuelezea huyo dada nadhan Tangazo ulipaswa kuliweka instagram ungempata kirahisi sana kuliko JF
  14. choupa moting

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Tatizo hyo location yake Tabata mabata wengi mno pande hzo.
Back
Top Bottom