Recent content by ChOtArA wa DoM

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichonikuta kwa mke wa mpemba

    Jitaidi pia kutembea na KY,mafuta ya nazi yatakusaidia kuepusha michubuko isiyo ya lazima siku akikudaka
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimetajiwa mahari milioni 7 ili kuoa kwenye hii familia

    Ukilipa hiyo hela ndo mmemalizana yan hakuna ndugu wa kike kukutembelea wala kulia shida kwako?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Utajuaje ukubwa wa timu kubwa?

    Ungeweka ushabiki pembeni ungekuja na mada nzur...al ahly ndio club yenye makombe mengi duniani je makombe yote yanayowafanya watambulike na makombe mengi duniani yanatambulika na FIFA na CAF.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

    Mkuu mwaka jana kwenye tamasha la yanga walijaza kuliko la simba je manara alikuwepo yanga? Kama ulifatilia ligi ya Tanzania msimu uliopita pia mechi za taifa za yanga na za simba nani alikuwa anapata mashabiki wengi.
  5. C

    JamiiForums Tanzania CAF naomba ichunguze upya vyeti vya kocha wetu huyu

    Labda kama ni meza ya kahawa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Predictions: Yanga Vs Rivers United

    Kocha mwenye pro max kazi anayo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

    Tatzo nini umeliona au uzembe wake ni upi?...msifu mpigaji hapo kwanza
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni baada ya muda gani ajira portal huita watu kwenye interview baada ya deadline ya maombi kufika?

    Ni kuanzia wiki mbili na kuendelea pia kama umeitwa utaona kwenye account yako pamoja na namba ya mtihan pia huwa wanaweka majina kwenye website yao ajira.go.tz
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: APP ya Simba haifunguki

    simbasc.co.tz/app
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: APP ya Simba haifunguki

    Nenda page ya simba ya Instagram wameweka link ila yenyew ni iliyoandikwa Simba #nguvumoja App developer ni hebet technology
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuwafuma watu wakifanya mapenzi?

    Na sisi tuliowai kufumwa uzi wetu bado?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kauli gani ya Mwalimu ilikua inakukera!!?

    Kuna watu hapa wamelipiwa ada na wamepada magari kutoka mbali kuifata zero na four..
  13. C

    JamiiForums Tanzania UEFA yatishia kuzipiga 'ban' klabu kubwa barani ulaya kwenye michuano yote

    Hii si inafanana na ile idea aliyosema Gianni Infantino kwenye uchaguzi uliopita wa CAF mbona sasa wao wanaipinga kwa kujua kuwa itaharibu ligi nyingine na kukandamiza vilabu visivyo na nguvu kiuchumi
  14. C

    JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    ukiona haikupendezi jua haipo kwa ajiri yako..
Back
Top Bottom