Mwambie afumbe macho tu ajirudie kazini itapata mke bora na hao walio msaliti Mungu atawalipa kwa ufedhuri wao........pia huo ni mtihani wa mwenyezi Mungu kwani kila litokealo Mungu anamakusudi nalo.........ila pia mpe pole sana maana inauma sana.
Hapa ni kuwatengenezea chance ya kughalilika dhidi ya makondakta tu, cha msingi ni kuwaongezea mishahara tu hawa walimu kama kweli mkuu wa wilaya ya kinondoni na serikali kwa ujumla wameamua kuwajali hawa watu tafadhari.
Acha wapige hela........bei hizo ni kupunguza vurugu na kukifanya kisiwa niendelee kuwa na utulivu, maana kama wangefanya 10,000 kila siku pangekuwa fujo
Nawapongeza sana hao jamaa kuwekea huko aisee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.