AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
mkuu masamaki hivi mfano nataks kulala na simu yangu nikiiweka kwenye mto wangu wa kulalia lakini kwa kugundua madhara nikawa nikitaka kufanya hivyo naweka flight mode ili kuepuka kuizima kwa kuwa kuna mahitaji mengine mf alarm, music etc je bado kutakuwa madhara ya mionzi?.