Huwezi shindana na Serikali, kwani Serikali ni MONSTER. Hapo Serikali wameshamaliza kazi yao, si unajua chanzo cha mgomo huu, umejengwa na baadhi ya madaktari Bingwa Viongozi wa MAT ambao Mama Nyoni aliwataka waende Mikoani baada ya kumaliza mafunzo yao ya Ubingwa. Sasa Serikali inachofanya hapo...
Mkuu Mkijiji, hapo juu nilipobold si kweli, kama ingekuwa hivyo Wanasayansi wasingesumbuka kupata chanjo au tiba za magonjwa mbali mbali dunia kwa sababu ugunduzi wa tiba/kinga moja ungelitibu magonjwa mbali mbali. Si kweli eti mtu aliyekuwa exposed na sumu ya panya anapata kinga ya sumu ya...
Hii ni mojawapo ya tafiti zilizofanywa kwa wanyama kuhusu sumu ya polonium-210 kama itatokea mtu atakunywa au atalishwa (ingestion) na kuivuta (Inhalation). Sasa hapa nina swali , wana JF mnipe jibu, lakini sidhani kama tunaweza pata hili jibu neither kutoka kwa Mwakyembe nor kutoka kwa DCI...
Mkuu unaweza kutuambia hii regime imeua Viongozi wangapi tangu imeingia madarakani? maana hizi tuhuma ulizotoa ni nzito sana. Otherwise, tutadhania ni nyimbo tu ambazo tumezizoea siku zote (Consiperancy theories za kina Jason Borne wanna be). Aidha, naomba ututajie hayo majina ya hao kina dada...
Determining specific etiologies in exfoliative dermatitis often is not possible; however, it is necessary to attempt since etiology may impact disease course and management options. The list of conditions that can cause exfoliative dermatitis is extensive and continues to expand. Cutaneous...
Kinachoshangaza katika tamko lake hakuna hata sehemu moja alipokili kuwa kalishwa sumu, yeye mwenyewe binafsi hataki kusema kwamba ugonjwa wake umesababishwa na sumu. Eti anasema kwenye bone marrow yake kuna kitu kinachosababisha tatizo lake la ngozi na hataki kusema ni kitu gani, yeye mwenyewe...
Nakumbuka tulikuwatunapiga tuiti kwa Mudi, yaani Boka akisikia Mudi to anamalizia pindi (From this particular juncture let end up here) BOKA akisikia sentensi hiyo, anatoka nduki! ni kweli alikuwa anasoma bure mapindi yote, BoKa alikuwa noma sana.
Hakuna chochote, hizi tuhuma zipo tu humu JF hazipo TAKUKURU (Uzushi), ni kawaida ya watanzania kulalama tu. Walishasema Serikali haiendeshwi na Mitandao na ususani na mitandao ambayo kutwa inaponda tu Serikali yenyewe na Rais wake.
Ndugu yangu wakati huo Jitegemee (JITE) ilikuwa noma sana, nakumbuka ilikuwa mwaka 1999 walitoa vichwa zaidi ya 5 kwenda special school, hiyo bunch ilikuwa noma sana kuna mchizi mmoja alikuwa anaitwa Golota, huyu mchizi alikuwa amekuwa akiwa wa kwanza katika miaka yake yote alipokuwa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.