Tarehe 22 October 2023 wanacheza TP Mazembe and Esperance Sportive de Tunis Benjamin Mkapa Stadium baada ya uwanja wa TP mazembe wa Kongo kufungiwa kwa mechi hiyo.
Habari za leo.
Unayo Brake Master Cylinder ya Land Cruiser Prado diesel ya mwaka 2001, engine no 1KD0867463, chasis no 1KDJ950025500. Model no KH-KDJ95W.
Bila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.
wamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.