Mtoto anafanya biashara, akataka kupitisha mzigo .alipojua dili limestukiwa akaenda kushtaki kwa baba kana kwamba kabambikiwa. baba kaingia kichwa kichwa kumtetea mtoto bila kujua au kujifanyisha mtakatifu.one day yes the big camera will capture you baby, come on.
Didia acha ubembuzi wa kibabaishaji. ndio maana wasomi wetu wanashindwa kuwa compitent kimataifa kwasababu wamejaa maubishi siku zote,so once employed or assigned to international posts wanashindwa kuwa compitent.sekondari za kata ni mpango wa serikali kuhakikisha kwamba kila kata ina sekondari...
Msishangae hao ndio walivyo ,wana msongo wa mawazo kila lifanywalo na baba riziwani kwao donge.kusingekuwa na chuo wangesema saaana na matusi juu,sasa kuna chuo wanakejeli. tuwaache ,sisi tuipe nguvu Udom ,itoe huduma bora sana.
Maana hwa ni product ya maprofesa wa kizamani wa Kitanzania ambao...
Safi elimu kwanza. Ud hawana ubunifu wa taaluma zao zaidi ya kujaza siasa kwenye vichwa vyao.utadhani kuna faculty of Politics and propaganda ,siku zote utadhani wanajiandaa na final project ya migomo na maandamano, uone walivyo punctual kwenye maandamano na migomo but hawafanyi hivyo kwenye...
Udsm tunayoijua siyo ya sasa wewe angalia hata mijadala yao sikuhizi pumba tupu.raking wanaangalia vitu vingi ikiwemo hata uwezo wa wakufunzi lakini academically kwa uwezo wa kitaaluma kwa undergraduate UDSM imeshuka sana.Chuo akiwezi kuendelea kwa tafiti za quetionnaire kama Redet n.k.chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.