Recent content by Chorio

  1. C

    Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

    Kigeu geu... amenigeukiaaa...kigeu geu! This time tuchore mstari chini.
  2. C

    EWURA yatangaza bei kikomo mpya ya mafuta ya Petroli

    Sheria ipo kwa ajili gani? Yani hii excuse ni ya kipuuzi na watu hapo EWURA na vyombo vingine vya serikali wanakubali kabisa kuwaumiza wananchi masikini kwa kuwauzia mafuta ya taa wananchi kwa bei ghali ili kudhibiti wanaochakachua diesel? Wakaguzi wa ubora wa mafuta wanafanya kazi gani...
  3. C

    Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa Kundi la Kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania

    Huyo atakuwa ni Ngosha feki. Atakuwa ni nyang`au kwa mwavuli wa ungosha.
  4. C

    Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa Kundi la Kigaidi waliouawa nchini humo ni Watanzania

    Hii Njoroge mbona ni jina ya nyang`au? Waache kuhamisha magoli.
  5. C

    Trafiki wanafanya kazi kubwa, wapongezwe

    Kukaa kwenye jua kali siku nzima na hii vumbi sio jambo dogo mkuu. Waache tu wakanywe maziwa. Ila wajichunge wasipate vitambi.
  6. C

    EWURA yatangaza bei kikomo mpya ya mafuta ya Petroli

    Duh...! Mafuta ya taa ghali kuliko petiroli.... hahaha
  7. C

    Nani anamfadhili mtu huyu?

    Duh...
  8. C

    Licha ya Watanzania kuwalilia Marekani waache kuwatangaza, jamaa watangaza tahadhari nyingine dhidi ya Tz

    Afadhali wametusaidia kutangaza kuwa anga letu limefunguliwa na kutoa link za mashirika ya ndege mbali mbali kwa ajili ya kukata tiketi. Kuhusu magonjwa waje watajionea watu wakichapa kazi freely bila shida.
  9. C

    Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

    Angekuwa mwanaume ningeelewa kuwa anatumia ili achelewe kufika nyumbani. Maana tramadol nayo ina maajabu yake.
  10. C

    Uganda - Tanzania pipeline is not Economically viable

    Acha kuhangaika. Muda ukifika utajuzwa tu.
  11. C

    Uganda - Tanzania pipeline is not Economically viable

    Hiyo article iliyoandikwa na mkenya? Tulieni, mbona mnaweweseka sana?... shughuli ndio kwanza inaanza.
Back
Top Bottom