Nauza mayai.....jumla kuanzaia trey kumi nakuletea ulipo kwa hapa dar es salaam.
Mayai yapo ya kutosha............
Kama unahitaji
Waweza nitumia nitumia inbox na outbox
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kusamehe, ukute kutokana na mzingira uliyokulia kuja mengi uliyabeba moyoni yaliyo kua yanakuumiza, yaache yaende.......afu jikubali ulivyo.....na mpe Mungu Maisha yako mwombe akuonesha furaha yako ilipo......
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi tumekua na tabia ya kusingizia pesa na maumbile ndo tatizo la wewe kutoweza kumlidhisha mwanamke wako.
Jambo ambalo tunashindwa kuelewa ni kwamba, unaeza kumpa mwanamke wako hata ATM nzima....akaishia kumpa mtu mwingine baki ambae hata ukuweza kumfikiria.
Kibaya zaidi wanawake...
[emoji23] mimi hii ilinitokea Kwenye Daladala ile konda wa posta gogo la mboto kaisha pakia na wanavyo jua kutupaki kama mizigo ya ndizi....kitu akisikii nikasema potelea mbali nimwambia konda nimepotea gari.....ikanibidi nishuke na matusi juu
Sito sahau....nikaenda kwenye choo cha sheli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.