Recent content by Choona

  1. C

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Niulize laptop gani unataka na kwa ajili ya matumizi yapi nikupe bei na ushauri

    Nataka laptop kwa matumizi ya ofisi na kuchora ramani kwa program kama QGIS. Napenda iwe nyembamba, betri iandumu muda mrefu na speed ya radi. bajeti yangu milioni tatu
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    Starehe mnazipenda lakini mwisho wake mbaya. Nı hayo tu tokakwa ngulı
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hosp gani nzuri ya kufanya urine analysis Dar or Dodoma

    Kinondoni moroco jirani na jengo la airtel
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hosp gani nzuri ya kufanya urine analysis Dar or Dodoma

    Nenda lancert wao kazi yao kupima tu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Tulosoma ywca moshi enzi hizo chemistry alikuwepo ambrose au a boy mwanafunzi wa mkandawile
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wanaoenda kinyume na sheria wanampinga Mheshimiwa John Pombe Magufuli

    Hao ni watumishi sio kazi za baba zao. Kama mtumishi hatii sheria si unamfukuza? Vijana wamejaa mtaani kwa maelfu hawana kazi kumbe kuna wajinga kazi zimewashinda! Kwanini hawachukuliwi hatua?? Hao ambao CAG amethibitisha wameiba miaka na miaka mmewafanya nini?? Mnawapaka rangi tu. Unamuajiri...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wanaoenda kinyume na sheria wanampinga Mheshimiwa John Pombe Magufuli

    Hii si serikali ya CCM mnatandao wa makada mpaka balozi wa nyumba kumi. Mna wakuu wa wilaya kwanini wasiwawajibishe. Ccm ni ileile. Pesa zinakwapuliwa hakuna uwezeshwaji wa kufanya kazi kwanini watumishi wasipige stori. watumishi wengi wa serikali wapo underemployed!!
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume awe muislam na anayetokea Tanga

    Nimefika.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa Profile, KTN KENYA

    John allan namu ktk ubora wake hawa jamaa na kipindi chao cha jicho pevu nawakubali.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa Sokoine University of Agriculture

    Naulizia kaumba bado ipo??
  11. C

    JamiiForums Tanzania Putin sends in his most ruthless special forces killers to finish off jihadist

    Kwa jinsi wanavyosifiwa hao spetsnaz huko chechniya kusingekuwa na waasi wa miaka na mikaka
  12. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa: To all Voters of change

    Naam mi mwehu ndio maana siijui lugha ya taifa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa: To all Voters of change

    Hizi kura anaomba waingereza au watanzania??!!
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki

    Here i am
Back
Top Bottom