Hosp gani nzuri ya kufanya urine analysis Dar or Dodoma

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Wana JF nahitaji kujua ni hosp gani nzuri naweza kufanya vipimo vya urine analysis kwa Dar au Dodoma.

Natanguliza shukuran
 
nenda aghakan nimeenda juz kwa mkojo unapmwa vitu vingi sana maana upande wa mkojo wanakujazia sehemu kama saba
 
Hata mimi nasumbuliwa na maswala ya mkojo nikipima kwenye hizi maabara za kawaida naambiwa hakuna tatizo! Wakat mimi naona kuna tatizo nimeshaafanya mpka ultrasound tatitzo halionekaniki.

Suluhisho ni nini mkuu? Niko Arusha
 
Tatizo lako ni nini? Mkojo unafanyaje?
 
Tatizo lako ni nini? Mkojo unafanyaje?

Niliwahi kupima wakasema ni UTI nilivyotumia dose nikamaliza hatimae tatizo likaisha. Nikakaa mda nikawa naumwa kino upannde mmoja mara mkojo wenye harufu flani na miguu kuwaka moto na korodan moja inaumwa.
Nikienda kilq hosp wanasema hakuna tatizo!!
 
Nenda Hindumandal DSM wanatumia bima ya Afya pia
 
Nenda hospital kubwa aisee hilo itakuwa swala sensitive tena kwa mwanaume itakuwa imekuathiri mno
 
asanteni mbarikiwe na Mungu wa Mbinguni Inshallah!
Niko Arusha ni hosp gani nzuri hapa arusha kati ya Selian, aga can na mt meru au kama kuna nyingine. Pia niliwahi kufanya ultra sound wakasema hakuna tatizo!
 
Back
Top Bottom