Recent content by Chomsky

  1. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Chezea Waumini Wewe!

    Baada ya mazishi ya jamaa mmoja huko Shinyanga, mchungaji alisimama akaongea na waumini wake. Mazungumzo yao yalikuwa hivi: Mchungaji: Waumini mnaombwa kutoa michango ili kujenga ukuta (uzio) kuzungushia eneo la makaburi. Je, kuna mtu mwenye swali? Muumini: Je kuna marehemu yeyote aliyewahi...
  2. Chomsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is it Possible?

    Kama hujui sema SIJUI. Kama si kazi yako ni kazi ya nani sasa? Vitu vya maana ni kama vipi mbona husomeki? Au mi kuuliza humu ndiyo tatizo? Tafakari tena mkuu.
  3. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha GAS kikijegwa mtwara athaa yote hii itatoweka kwa wamachinga

    Gesi si chakula. Ila mama zetu watapata watu wa kuwauzia hata maandazi, nyumba zitapata wapangaji, vijana wataajiriwa hata kwa kubeba mizigo, barabara zitaboreshwa, 'residual' za gesi zitatumika kama mbolea na wananchi kupata mazao bora ya shambani, wawekezaji watawekeza katika viwanda na hivyo...
  4. Chomsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is it Possible?

    Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali!
  5. Chomsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kinavuja?

    Upi ni msemo sahihi wa Kiswahili sanifu kati ya misemo ifuatayo? a. Ndoo inavuja au b. Maji yanavuja? Tusaidiane katika hili wadau wa Kiswahili.
  6. Chomsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi Choo?

    Nini maana halisi ya neno "choo"? Hospitali ukiagizwa choo unapeleka kinyesi. Hii sawa. Sehemu watu wanakwenda haja pia panaitwa choo. Na hii ni sahihi. Je, wadau, "choo" nini? Ni kinyesi au ni sehemu ya kwenda haja? Au kuna maana nyingine zaidi?
  7. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Kikwete ningekimbia Nchi

    Si Waislamu kuchoma makanisa tu. Pia ongezea na haya yafuatayo: 1. Waislamu kuchakachuliwa matokeo yao ya mitihani kule NECTA. 2. Waislamu kuchafuliwa kitabu chao Kitakatifu kwa kukojolewa. 3. Waislamu kukatazwa kufanya mtihani wa Form 6 kule Ndanda. 4. Mwalimu wa Kiislamu kunyang'anywa...
  8. Chomsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upi ni msemo sahihi wa kiswahili kati ya hii?

    Ipi ni misemo sahihi ya Kiswahili ktk jozi zifuatazo? 1. (a) Ndoo inavuja. (b) Maji yanavuja. 2. (a) Gari limejaa. (b) Abiria wamejaa? 3 (a) Nikopeshe sh mia tano nitarejesha baadae. (b) Nikope sh mia tano nitarejesha baadae.
  9. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Kazi Kwenu Marijali wa Mjinii...

    Hapo hakuna starehe tena. Hiyo ni adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa wasiomcha
  10. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Jamani Mmeonaaaaaaaaa!

    Huu ni ubunifu bana!:redface:
  11. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Du! Hii sa kali

    Mwalimu mmoja wa kike alikuwa darasani na wanafunzi wake na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo: Mwalimu: We John unacheka nini? John: Nimeona paja lako mwalimu! Mwalimu: Huna adabu, toka na usirudi hapa hadi kesho! Mwalimu: Na we Michael vipi? Michael: Nimeona chupi yako...
  12. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Du! Hizi Lugha!

    Mzungu mmoja alikwenda sokoni kununua vitunguu. Muuza vitunguu alipomwona Mzungu akajificha uvunguni mwa meza ya vitunguu. Hata hivyo Mzungu hakujali na aliendelea kueleza shida iliyompeleka. Mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo: Mzungu: How much shillings for one pile of onion? Muuzaji...
  13. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Eti wewe ni wa majaribio!?

    Network busy, jaribu tena baadae
  14. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Misemo ilyopitwa na wakati

    Mficha uchi hazai
  15. Chomsky

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mashaallah Innallah Maswabirinah
Back
Top Bottom