Du! Hizi Lugha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Du! Hizi Lugha!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Chomsky, Aug 15, 2012.

 1. Chomsky

  Chomsky Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzungu mmoja alikwenda sokoni kununua vitunguu. Muuza vitunguu alipomwona Mzungu akajificha uvunguni mwa meza ya vitunguu. Hata hivyo Mzungu hakujali na aliendelea kueleza shida iliyompeleka. Mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:

  Mzungu: How much shillings for one pile of onion?
  Muuzaji: Ndiyo maana nimejificha ili usinione.
  Mzungu: Okey, Goodbye!
  Muuzaji: Lazima nijidai si vyangu!

  Jamaa (Mzungu) kuona vile huuuyo akatokomea.
   
Loading...