Uongozi kazi, hasa pale unapoongoza maelfu kwa ma million ya watu wa namna tofautix2,kila mmoja ana mapungufu yke na utashi wake wapo machizi,wababe, wasaliti, wenye kukata tamaa ya life,wapo watu wa kila aina hzo ndo challenge hasa unapocheza na jamii iliyopoteza mwelekeo.