TAHEC Premium Employment Service for Job Seekers

TAHEC Premium Employment Service for Job Seekers

Sijawahi kuona job agency inachaji subscription fee! Hao waluowasajili wanajua ndo mnachofanya aisee? Manake mkipata watu laki 2 tu hapo hamuwi non profit ngo! Na bado employer awalipe!
 
Sasa mnadai unatumbukiza mkwanja Benki kisha unaambatanisha pay slip nina uhakika gani iyo hela naiweka kwao na watanitafutia kazi kweli na hawa jamaaa ndio wanafanya maisha ya Job Seekers yawe magumu kwa sababu wanakumbatia nafasi za watu ili waziuze kwa mpango wao huo...daa hii nchi utumbo mwingi sana sijui wahusika wako wapi kuliona hili...
 
Back
Top Bottom