Recent content by chollemadulu

  1. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

    Yapo mengi tu ila moja wapo KATIBA MPYAAAA
  2. chollemadulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Huku kwetu kunajamaa alimpeleka bosi wake mahakamni kwa kutomlipa sitahiki zake yule kabwela akapanda cot kabwela alishinda kesi.Nichokuomba kaka usikate tamaa tupiganie katiba mpya ili kila mtu apate haki yake
  3. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya inakuja kutusaidia nini kama tumeuza madini, gesi, mbuga, visiwa na bandari?

    Katiba mpya itaondoa uzamini wa rais kwenye maliasiri zetu ili umiliki ulidishwe kwa wananchi wenyewe pia nakufumua mikataba upya nakuifunga kwa masirahi ya taifa sio ya mtu binafsi
  4. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kitendo cha CCM kuzuia mikutano ya hadhara ni ushuhuda kwamba wanatuogopa

    Elimu nayo inasaidia kidogo kuelewa hivi watu wakipigiwa ngoma ya mikutano ya hazara huenda asubuhi?
  5. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Mlisha sema chadema imeshaga kufa mbona kila siku mnaiongelea?
  6. chollemadulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Hizi sim sindio zile zinalipuka mfukoni
  7. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Hamna hoja hapo wewe kama unaona hakuna upinzani tanzania tuletee kutoka ghana au kokote unako jua
  8. chollemadulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kama wa Sabaya ndio namtaka, anayehangaika na wewe hadi kwenye changamoto

    Pesa hazina nafasi kwenye mapenzi
  9. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania Chadema si wamoja tena? Ile live kutoka Ubelgiji haijaonekana, kuna error mahali

    Makamu mwenyekiti alikua bize na shughuli za chama amekabiziwa kazi kubwa kukiwakilisha chama kwenye bunge la ujerumani na wabunge wa africa usio na wasi wasi chama kipo imara kamanda vilevile tupo wamoja Ok?
  10. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

    Na vile vile akashindwa kuiuwa kama alivyo zamilia
  11. chollemadulu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

    Huna hoja kaa pembeni chadema huiwezi milele
Back
Top Bottom