Recent content by Cholemasaki

  1. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Rais Shein autangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji

    From Stone Town to Stone City
  2. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    I rarely comment, ila hii imenibidi tu.
  3. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Dar Mpaka Moro Miaka ya 1950

    Sijui ilichukua muda gani kusafiri from Dar to Moro kwa barabara ya aina hiyo?
  4. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Thread maalum kwa wanaohitaji hotel, lodge kwa mikoa yote Tanzania

    Safi mkuu. Naenda Wilayani Bunda wiki ijayo, nahitaji hoteli nzuri. Any suggestions.
  5. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Wameanza tarehe 30/06/2016
  6. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

    Gari haina pupwe, mvua ikinyesha, ukifunga madirisha yote ni shida humo ndani.
  7. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Nissan X-Trail

    Tatizo gearbox, ukiweka hydraulic ambayo siyo special kwaajili ya nissan umeumia, besides natafuta engine na gearbox ya Xtrail kwa bei nafuu, aliyenayo anipm
  8. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Pasi ya kijerumani

    As in inatumia solar?
  9. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri Mkuu Mizengo Pinda?

  10. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Binafsi sidhani kama tutayapata mabadiliko tunatoyataka kwa Membe. Naona itakua business as usual kwa miaka mingine kumi ijayo
  11. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

    Eti Mheshimimwa Wema Sepetu. I cant imagine yani
  12. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ananipenda?

    Una umri gani mkuu? Maana!!! Anyways ngoja waje
  13. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Tegeta Dar es salaam? Mbona kuna miale mikali ya mwanga kwa angani?

    Hata mimi nimeiona, nahisi ni mtambo wa umeme umelipuka maana umeme umekatika mara tu baada ya hiyo miale kuonekana
  14. Cholemasaki

    JamiiForums Tanzania Gertrude Weaver awa mtu mwenye umri mkubwa duniani baada ya kifo cha Misao Okawa

    Inawezekana wapo, tatizo wazee wetu wa zamani hawajui miaka exactly waliyozaliwa. Anakwambia alizaliwa kipindi flani tu
Back
Top Bottom