Recent content by Chokoza fikra

  1. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania There is no secret societies, There's no dark forces controlling your life. There is no Satan sitting somewhere controlling your life!

    Not every vulgar word intends insult.some can be used pragmatically / as figures of speech
  2. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania There is no secret societies, There's no dark forces controlling your life. There is no Satan sitting somewhere controlling your life!

    N Now,give us a f***ing inference, a pattern, something you associate with satanic influence
  3. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

    Wengi wanaoshadadia amedharau Hawajui hata amedharauje. Mara kagomea wito kamati ya maadili,huku hawajui aliitiwa Nini!
  4. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    We taja sifa za mungu unayemwamini,tukupe hoja kwanini huyo mungu hawezi kuwepo
  5. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Labda shetani mmekutana akakwambia hivyo!
  6. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Shahidi kadhaa zikirandana ndo hudhibitisha kweli. Ushahidi wa pili ukiupinga ule wa kwanza basi ulikuwa unadhani,si kujua
  7. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Baade unitofautishie kujua na kudhani
  8. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Yapo matatu hapo
  9. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Dai la kwanza kupokelewa ni ujuzi? Sasa ukianza kwa kujua vipi ushahidi unaofata usipothibitisha ulichodhani ni ujuzi rasmi tiyari? Kama ujuzi ndo unaanza, mtu anajuaje kwamba hajui
  10. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Ubongo unachakata taarifa(ushahidi)na kuunda hitimisho(kujua). Sasa nashangaa wewe unasema inaanza ujuzi alafu ndo tunaikusanyia ushahidi!
  11. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Mkuu ,hapo ubongo unajua kwa njia Gani Mwanzo kabla ya ushahidi?
  12. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Nichimbe wapi, nielekeze Au hoja zimeisha ukaamua unituhumu sijachimba?
  13. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    You call time an illusion because you failed to define it. Changamoto,kama hakuna muda ,hakuna mabadiliko,hakuna mjongeo,hakuna causality etc
  14. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Tumeunganikaje sasa ndo ufafanue.
  15. Chokoza fikra

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    We muulize akijua mtoto wake amejiunga na dhehebu la kufunga Hadi kufa atafurahi?
Back
Top Bottom