Recent content by choka

  1. C

    Wanatech nani anaweza ku-unlock hii

    upo wapi.ili nikuelekeze kwa mtaalamu?
  2. C

    Hivi upinzani Ni kupinga kila kitu? Wachina kuwekeza Nchini Ni juhudi za Serikali kuvutia wawekezaji

    mkuu hapa ni wananchi wanahoji na kuelimishana kuhusu hatma ya nchi yao,sasa kama wewe utawaita wanachi hao wapinzani katika nchi yao,utakuwa hujawatendea haki watanzania. au ni dhambi kwa wananchi kuhoji na kuzungumzia mambo muhimu yanayotendeka katika nchi yao?
  3. C

    Utata kesi ya Lwakatare: Polisi wamchomoa Ludovick Segerea na kukaa nae kwa siku mbili wakimhoji

    kama hamjui sheria bora mnyamaze,msishabikie mambo kisiasa,mtu akishapelekwa gerezani,polisi hawawezi tena kumhoji lolote mpaka wapate remove order kutoka mahakamani.
  4. C

    CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

    wakuu naona hapa watu wanajaribu kuhalalisha hii hoja ya ubaguzi, inayofanywa na viogozi wa ccm,mimi nadhani hakuna haja ya kuwaelimisha zaidi juu ya uovu huu,sio kama hawaelewi ila wanajaribu kumtetea kiongozi wao,hamna haja ya kujibizana nao,ila majibu yetu yatakuwa mazuri zaidi 2015,na hapo...
  5. C

    CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

    Kwahiyo unachojaribu kutuambia hapa,kwamba Chadema ni chama cha wachaga,na si cha watanzania wote.
  6. C

    Tumejaza wapiga Kelele hatuna wanasiasa!!

    ni kweli kabisa hapa kwetu hakuna siasa ila wapiga kelele,angalia majirani zetu,japokuwa siasa zao zina ukabila,lakini wanajitahidi kuungana,kwaajili ya mstakabali wa nchi yao,ila sisi huku tunaendekeza siasa zenye chuki na kelele nyingi na ubabe. Na kama watanzania wakiendelea na mtindo...
  7. C

    Najitolea kumshauri Mwenyekiti wangu na kiongozi wa kambi ya upinzani!

    wacha chuki na majungu,katika wabunge walio mbele kufuatilia maendeleo ya majimbo yao ni pamoja na wabunge wa chadema,na hiyo ni moja ya sera ya chadema,kwamba lazima wabunge wawe karibu na wale wanao waongoza. Any way watanzania sasa imefika wakati tuache siasa za chuki na fitina.
  8. C

    CHADEMA ina washabiki wengi, Haina wapiga kura wengi

    si kweli,na kama chaguzi zetu zingekuwa za huru na haki,ccm ingeshakuwa historia.
  9. C

    Sheria inamruhusu rais Kikwete kumvua ubunge Mbatia?

    wakristo wote wanaamini kwamba ukifunga ndoa hakuna talaka,kwahiyo hii ni sheria ya wakristo wote,sidhani kama inawahusu wakatoliki peke yake. Na ni vizuri tujikite kwenye mada zaidi kuliko itikadi za kiimani.
  10. C

    Profesa Mchombe: Tunatafuta suluhisho la Matokeo mabaya ya Mitihani ya Kidato cha nne si mchawi

    tatizo la hawa viongozi wetu ni watu wa ngonjera,watanzania wamechoka na ngonjera,we want results there for you should do your job,we dont need politics in this.
  11. C

    Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

    wakenya wameendekeza sana ukabila,wao wanamchagua mtu kwa vile tu ni kabila la walio wengi,na wamesahau kwamba kuna matatizo mengi yanayo wakabili, wamesahau kwamba mpaka hivi leo bado kuna wakenya wenzao ambao bado hawana makazi,na bado wanaishi kwenya mahema,kwasababu ya dhambi ya ukabila
  12. C

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    up to now the results are: Votes registered 14,410,976 votes counted are 1,296,207 uhuru kenyatta is leading by 56% railla odinga 40%
  13. C

    Udini ulianza baada ya uchanguzi wa mwaka 2005 na CCM ndiye mwaasisi wake

    Serikali ndio iliyopanda mbegu hii ya udini, inatakiwa ichukue hatua za haraka ili kuzawazisha na kukemea hili jambo,kama isipofanya hivyo,itajikuta tumeingia kwenye machuko bila sababu.
  14. C

    Mwalimu Nyerere, sensa na udini

    Kwanini watanzania tunapenda kuongele maswala ya udini na ukabila? Kuna maswala mengi ya kimaendeleo ya kuongelea,tubadilike.
  15. C

    Mwalimu Nyerere, sensa na udini

    Inaonye hukuwepo enzi ya nyerere,kwahiyo hufahamu unacho kiongea.
Back
Top Bottom