CHADEMA ina washabiki wengi, Haina wapiga kura wengi

Ni sawa CHADEMA ina mashabaki haina wapiga kura hahahaaaaa!! Acheni kuchakachua muone kama kweli CHADEMA ina mashabiki tu haina wapiga kura
 
Sawa MKUU umenena. Kwenye mfumo wa vyama vingi SI LAZIMA ukipigie chama chako ILA yule mgombea UNAYEMKUBALI (Unaye-Mshabikia). Hivyo "Pool" la wapiga kura ni la wote.
Tofauti kubwa ni ccm ina wanachama na cdm ina wafuasi. Wanachama ni more committed kuliko wafuasi. Tofautisha members and followers. Tofauti nyingine kubwa ni kwamba ccm ni chama cha siasa wakati cdm ni chama cha wanaharakati.
 
Hii ni kweli na sio uongo. CHADEMA kusema kweli imeteka watu wengi na kujiibulia washabiki wengi sana. Bali inawapiga kura wachache.

Unajua kura ni siri: Mtu anaweza akamshabikia mgombea fulani lakini ikifika wakati wa kupiga kura palepale ana badili na kumchagua mwingine, halafu akitoka anaendela kukushabikia.

Hii ndio inayo wacost CHADEMA itabidi wabadili mfumo si kufurahia ushabiki wa watu. Wawatake watu wawe na vitabulisho vay kupiga kura. pili wawaombe watu waende kupiga kura.

Au mnaonaje?
Kimbunga cha kuanguka kwa CCM 2015 kinawasubiri pamoja na propaganda zenu.
 
hii ni kweli na sio uongo. Chadema kusema kweli imeteka watu wengi na kujiibulia washabiki wengi sana. Bali inawapiga kura wachache.

Unajua kura ni siri: Mtu anaweza akamshabikia mgombea fulani lakini ikifika wakati wa kupiga kura palepale ana badili na kumchagua mwingine, halafu akitoka anaendela kukushabikia.

Hii ndio inayo wacost chadema itabidi wabadili mfumo si kufurahia ushabiki wa watu. Wawatake watu wawe na vitabulisho vay kupiga kura. Pili wawaombe watu waende kupiga kura.

Au mnaonaje?

si kweli,na kama chaguzi zetu zingekuwa za huru na haki,ccm ingeshakuwa historia.
 
Chadema kinaongozwa kwa kuwa na mashabiki huku ccm ikiwa na wanachama.wafia chama.wapiga kura. 2015 chadema ndo inaenda zikwa.

Watu hata wakiona fisi hujaa kwa hiyo CHADEMA wasidanganyike na kujaa kwa mikutano yao kwani kwa asilimia nyingi ni watu wanaokuja kucheka na
kutafuta udaku tuuuu!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:!
 
Chadema kinaongozwa kwa kuwa na mashabiki huku ccm ikiwa na wanachama.wafia chama.wapiga kura. 2015 chadema ndo inaenda zikwa.

Itakuwa Ni ndoto ya mchana ukweli CCM haishindi kihalali chaguzi nyingi bali ni kwa kuiba kura, rushwa na kutumia vyombo vya dola ndo maana hakitaki Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo yatundikwe vituoni moja kwa moja maana kinajua hakitarudi madarakani na chaguzi hakitashinda sababu wananchi wamekichoka kwa kuwa kimeshindwa kutatua mambo muhimu kwenye uchumi ambayo ni mfumuko wa bei, ajira, huduma za jamii na maisha bora kwa watanzania sababu watawala wa CCM ni wezi na mafisadi wapo kwa ajiri ya matumbo yao
 
Subiri wapiga kura waandikishwe ndo mtalijua jiji.

Hilo ni kweli. Kitu muhimu kabisa kwa CDM ni kudai kila aliyetimiza umri wa kupiga kura apewe fursa ya kuandikishwa.

Sehemu kubwa sana ya vijana ni 'mashabiki wa CDM' lakini hawapo kwenye daftari la wapiga kura.

CDM isaidie vijana kufungua kesi za kunyimwa haki ya kikatiba ya kupiga kura. Kuwe na vijana watakaotafuta court order ya kuzuia uchaguzi mdogo unaokuja mpaka wapewe haki ya kushiriki kwanza.
 
Leo hii uchaguzi ukifanyika kwa haki yaani free and fair CCM hawashindi ni kama ambavyo hawajawahi kushinda Zanzibar tangu kisiwa hicho kiingie mfumo wa vyama vingi bali tume ya uchaguzi Zanzibar kwa kushurutishwa na Bara imekuwa ikitangaza CCM washindi ndo maana walikubali serikali ya mseto ambayo kwenye katiba haupo ni sababu ya "guilty conscious" waliyonayo CCM
 
Itakuwa Ni ndoto ya mchana ukweli CCM haishindi kihalali chaguzi nyingi bali ni kwa kuiba kura, rushwa na kutumia vyombo vya dola ndo maana hakitaki Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo yatundikwe vituoni moja kwa moja maana kinajua hakitarudi madarakani na chaguzi hakitashinda sababu wananchi wamekichoka kwa kuwa kimeshindwa kutatua mambo muhimu kwenye uchumi ambayo ni mfumuko wa bei, ajira, huduma za jamii na maisha bora kwa watanzania sababu watawala wa CCM ni wezi na mafisadi wapo kwa ajiri ya matumbo yao

Sombetini je vipi napo, mbona mmeshinda? Dola haikuwepo? Kubalini chadema ya leo haikubaliki tena.
 
Hilo ni kweli. Kitu muhimu kabisa kwa CDM ni kudai kila aliyetimiza umri wa kupiga kura apewe fursa ya kuandikishwa.

Sehemu kubwa sana ya vijana ni 'mashabiki wa CDM' lakini hawapo kwenye daftari la wapiga kura.

CDM isaidie vijana kufungua kesi za kunyimwa haki ya kikatiba ya kupiga kura. Kuwe na vijana watakaotafuta court order ya kuzuia uchaguzi mdogo unaokuja mpaka wapewe haki ya kushiriki kwanza.

Ha ha ha! Mnaanza mambo ya kesi, mnanikumbusha Mrema na NCCR ya miaka ileee!
 
Subiri wapiga kura waandikishwe ndo mtalijua jiji.

CCM hawataki kuandikisha wapya kwa kusema hakuna pesa European Union wamesema watatoa pesa CCM wanadai hizo pesa kwanini zisiende mahospitali? Yaani wanatafuta sababu Tu kutoongeza New Generation kwenye daftari la wapiga kura Mara waseme mwisho mwaka huu kuandikisha wakati wanajua next year Kuna maelufu watakuwa na miaka 18. Iwapo wanawiwa vile na huduma za afya? Wapunguze allowance ya kukaa bungeni kwa siku, wapunguze safari za nje na warudishe mabilioni walioficha Uswiss yanatosha kujenga Muhimbili 10 mpya zenye vifaa vya kisasa pia kujenga viwanda tukawa na ongezeko la ajira
 
vyama vya upinzani vilitakiwa kususia chaguzi ndogo lakini sijui shetani gani huwa anawadanganya wanaingia kichwakichwa
 
Itakuwa Ni ndoto ya mchana ukweli CCM haishindi kihalali chaguzi nyingi bali ni kwa kuiba kura, rushwa na kutumia vyombo vya dola ndo maana hakitaki Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo yatundikwe vituoni moja kwa moja maana kinajua hakitarudi madarakani na chaguzi hakitashinda sababu wananchi wamekichoka kwa kuwa kimeshindwa kutatua mambo muhimu kwenye uchumi ambayo ni mfumuko wa bei, ajira, huduma za jamii na maisha bora kwa watanzania sababu watawala wa CCM ni wezi na mafisadi wapo kwa ajiri ya matumbo yao

Hoja yako haina mantiki, kama cdm imekataliwa imekaliwa kwani sehemu mlizoshinda hakukua na Tume? Huu ni uchaguzi lazima ukubaliane na matokeo ndio siasa.
 
Back
Top Bottom