Recent content by Chizu Cka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Mi nilikua cjaelewa nilipo ambiwa na mtu mmoja Mwigulu akili yake haitoshi kuongoza watu kumbe kweli! Hao watu walikuja kwaajili ya Simba co wewe kama huami rudi bila Simba uone! Nakushauri uache utoto na badala yake ushugurike na maisha ya Wanairamba, ukirudia ujinga huu watu watakuudharau...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    Mm Mbunge wangu nina mkubali sana, anajituma sana anaitwa David Silinde.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Baba tupo pa1 cz co hko tu ukienda kila kona afu wanatufokeaga kinoma wakati kaz hawajui, kama tulianzishe
  4. C

    JamiiForums Tanzania What Can Our Tanzaninan Mechanical Engineers deliver to the Tanzanian Industries?

    I always say Tanzania is poor because our leaders have no passion with our life!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavunja polisi makao makuu-Mwanza na kuiba vielelezo!

    Kwa sisi magreatthinkers hayo majambazi ni hao hao Police!
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa naona ni stori tu kumbe wapo (gay)

    Umejuaje lina gegeduliwa kama hujawahi kuligegedua? Mi naona wewe na yeye wote walele yaani Wewe mgegeduaji na yeye mgegeduliwa! So nenda ukamgegedue.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu kodi ya Sim Card na Kauli za CCM

    Raisi Kikwete tuokoe baba, tulikupa nchi utusaidie sio kutufanya tukulilie hiyo kodi ni kubwa sana kwa wananchi wasiojiweza ambao simu wamepewa na watu wenye uwezo baba simu unaua kodi kubwa sana siyo kidogo!
  8. C

    JamiiForums Tanzania KODI sh,1000 ktk kila lain ya simu ni ndogo na ni bora kuliko hii!! Soma hapa chini!!

    Sisi nchi yetu haina wanauchumi
  9. C

    JamiiForums Tanzania 'Tanzanian Peacekeepers Killed By Sudan Govt Militia' - Witnesses

    Kunahaja ya JK kutuma JWTZ kuwasaka hao jamaa na kama ni Jeshi la Sudani tuwakung'ute wao plus wahasi wao!
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti taifa stars walifunga!?!!!!?

    Ha ha ha ce tumefungwa tuu! Uwezo mdogo.
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti taifa stars walifunga!?!!!!?

    Ha ha ha ha kile kichapo tu kufunga co sababu!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hatupo na utayari wa kuwa na eac na wizara ya sitta ifutwe

    Ningekua Kikwete mi hata nisingeweka mguu kwani hawana msaada kwetu!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nani ni mkali wa kimombo kati ya Nyerere, Mkapa, Kikwete na Slaa!

    Mzee alikua mzuri zaid
  14. C

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (BRT)

    Baba hayo ni mambo ya kihandisi! Co vyembamba na gari zinapishana pale! Hofu yetu iwe ni umbali uliopo baina ya vituo viwili, umbali huu haurusu magari kukuimbia kama yaitwavyo.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Anayewalawiti Wanafunzi AKAMATWA na Polisi...

    Huyo "------" daaa tumuombee Mungu amsamehe lakini inauma sana!
Back
Top Bottom