Wanachama wa wapi unaowazungumzia napenda uwe unakuja na data hapa. Hata hivyo vyama vyetu huwa vina changamoto nyingi mfano ile ripoti ya CCM kuhusu mali za chama mbona mpaka leo haijapelekwa kwa wanachama. Mkuu wa kaya ilibidi atulie alichokutana nacho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.