Wakuu nisaidieni Yani wakati wa tendo sifikish hata dk moja
Nishamwaga hii Huwa inanitokea mara kwa mara na ikilala Haisimami Hata ufanyeje.
Wakuu nisaidieni Dawa yoyote Ya uondoa, tatizo hili maana nadharaulika.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.