Recent content by ChizFresh

  1. ChizFresh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kunikula kanichunia

    Jina Lenyewe Mama mzungu af unasema oooh Bikra. Duh!
  2. ChizFresh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada poa anataka nimuoe

    Muoe tu. Duniani wawili wawili ucpo muoa wew amuoe Nan sasa
  3. ChizFresh

    JamiiForums Tanzania Geor Davie ni nani?

    Inawezekana ikawepo. Kwani hujui kua injili ni biashara siku hizi
  4. ChizFresh

    JamiiForums Tanzania Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    U Ujinja wa kutuletea formula zisizo kua na scientific proofs hatutaki.
  5. ChizFresh

    JamiiForums Tanzania Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    We bwana kitu Kama huwezi waachie wanao weza. Wengine apa tunahudhuria jumuiya kwa burudan kabisa. Au hiyo jumuiya yenu ndio ina shida nahisi. Jaribu kuchunguza
  6. ChizFresh

    JamiiForums Tanzania Kata ya Kunduchi Ulinzi Shirikishi mchango ni Tsh 15,000 kwa mwezi kwa Nyumba, Wajumbe wapewe EFD

    Duh! Hiyo 15,000 kila mtu anakua na bodyguard au
  7. ChizFresh

    JamiiForums Tanzania Askari wa Urusi Waelezea Uduni wa Jeshi Lao

    Kinacho nishangaza Ni kwamba Urusi waliplan mission yao kuwa itakamilika ndani ya mwezi mmoja Cha kushangaza mda unazidi kwenda na hawajiulizi kwanini imekua hivyo.
  8. ChizFresh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume/Mpenzi kumfanya mwenza wake kama punda wa ngono

    Wakati anasisitiza kua haolewi kwa mahali ya Bei ya vocha alidhani huko anakoenda anakwenda Cinema kuangalia movie. Wacha apelekewe moto
Back
Top Bottom