Dada poa anataka nimuoe

Dada poa anataka nimuoe

Sema nini mkuu,,
Deep down, sidhani kama hiyo kazi ya udada poa ye binafsi anafurahia kuifanya, nafikiri mwenyew inamuhumiza wakati fulani, ni shida tu zinamfanya autumie mwili kujiingizia kipato.

Kwa jicho la kidini, Kila mtu ni mdhambi, ila mbora wetu ni yule anayetubu, yani anatafuta second chance, kwahiyo hiyo Wenda ikawa ndio turning point ya maisha yake, Wenda mungu anataka ai-shape future yake kupitia wewe, kama utaweza lakini, mbadilishe kwanza ila ili sio jambo la siku mbili au tatu hii ni long term plan hata mwaka mzima, ukijihakikishia umembadilisha basi mvute ndani naamini mungu atakusaidia katika hili.

Lakini pia matatizo au mikosi yana tabia ya kuambukizwa, yani Kuna mtu ukifatana nae au kuwa nae karibu tu, unajivutia mikosi yake pia, yani anakuambukiza mikosi, kwahiyo anaweza Kuta kwenye harakati za kumnasua ye anakuzamisha.

Kwa jicho la kihuni bro ondoa hilo wazo kichwani, achana nae, one day one time ataacha hiyo kazi ataenda mbali na hapo, uko atakuwa hafanyi hiyo kazi tena, atapendana na mtu wataoana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tuambie umejuaje kama huyo ni dada poa au unatupiga kamba mjombaa
 
Habari za muda huu wadau; bila kupoteza muda niende kwenye mada! katika pitapita zangu wikiendi iliyopita nikabahatika kuopoa dada poa bei yake haikuwa mbaya sana nililala nae usiku mzima kwa sh elfu 10000 tu. na kwakuwa nilikuwa nimelewa sana sikukumbuka hata kutumia kinga. cha ajabu asubuhi hataki niondoke anadai hajawahi kukutana na mwanaume anaejua mapenz kama mimi. kwahiyo anataka nimuoe kiukwel amenipenda sana maana ananipigia simu kila mara anasema nisipomuoa atajiua so wadau nipo njia panda nimkubalie au nikatae. naombeni ushauri wana jamii wenzangu:
popomer wewe
 
Acha ufala wee, Msenge dada poa???
Utajuta
 
Sasa usiku kucha halafu unampa elfu 10 Mkuu?
 
Muoe tu ndio chaka lako hilo
 
Muoe tu. Duniani wawili wawili ucpo muoa wew amuoe Nan sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom