Baada ya Luganda/kiganda ambayo ni lugha kubwa kutoka kwenye kabila la wabaganda,wanatumia Kiingereza kama official language.Lakini kiswahili pia ji kama lugha ya tatu kwa kuwa kinazungumzwa na makabila yote kwa anayekijua,kama kiingerezq.
Zaidi kinafundishwa mashuleni,vyuoni hivyo kinazidi...
"I am sick of malaria" is a perfect English to express semantically and grammatically,ambapo kama ungesema "I am sick" peke yake ndio mtu mfano Dr anaweza kukuuliza "you are sick of what?" Na kujibu "I am sick of malaria" However pia unaweza tumia hiyo namba 2.The rest 3-5 may sound correct...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.