[QUOT kuliko wengine ndiyo zilizochangia mauaji ya kimbari kule Rwanda kwa kuwaaminisha wahutu kwamba watusi ni mende. Naona na wewe umeanza kuleta kauli kama hizo, kwa kutaka watu waamini kwamba CHADEMA ni mbwa. In such a way kwamba hata tukianza kupigana, mtu asione uchungu kuwaua wafuasi wa...
Mimi natokea kijiji cha mkotano Wilaya ya Momba,kama mapendekezo haya yatapita nitalazimika kutembea zaidi ya km 275 kufika mkwajuni kupata huduma za kiselikari.sisi wananchi wa Momba tunaungana na wananchi wa Ileje kupinga uharamia uliofanywa na kamati ya kandoro kwa shinikizo la naibu waziri...
acha kuwa na mawazo finyu we gamba unataka woye wawe wanasema ndiyo,bunge la vyama vingi halipo huwa linakuwa hivyo.hapo wapinzani wanafanya kazi yao vizuri,huko ndio kuiwajibisha serikali.
hili nalo si ligaidi,linajiandaa kujilipua,yamedanganyika eti yanamfia mungu.ni mungu gani gaidi kama sio ufinyu wa mawazo,tena bahati yenu siku hizi mkwele zaifu ndio anaongoza
huo ndio uhuru wa vyombo vya habari naona mtowa maada bado anaakili finyu juu ya hili.Mbona aljezira wanonesha hadi kwenye front line kabisa ya mapambano,huachi kuona.na wewe utakuwa mmoja wao hutaki umma ujue mambo yenu.
tusishangae ndugu zangu tunaotoka kwa mama mkubwa,simnajua imani ya kiislam imetokana na utamaduni wa kiarabu,ambao chimbuko lao ni kutoka kwa mke mdogo wa Ibrahimu,tena na sikia alikuwa house gero.kwa lugha fasaha ya kiswahili mtoto anaezaliwa nje ya ndoa huitwa MWANAHARAMU,ndio mana hata...
watu wenye mawazofinyu,wakipata bahati ya kupata ufafanuzi wa mambo mhimu ya mambo ya jamii yao,kutoka kwa watu wenye deep thinking kama ndugu zito,huanza kumtusi na kutowa maneno ambayo huakiki ujinga wao.ndugu zito ametowa analysis makini sana.nina wasisi sana na CV ya mchangiaji wa...
huyu jamaa nasikia elimu yake ni darasa la tatu aliishia hapo baada ya kuwa naakili nzito ambayo haikuweza kumruhusu kuendelea,ana uelewa mdogo kuliko tumbili na ngedele,sijawahi kuona mtu mjinga kama huyu jamaa
mpwapwa dodoma napo shule zote za mjini,watoto hawajasoma.pia nimetembelea chuo cha ualimu mpwapwa wakufunzi hawajafika kazini kabisa.mgomo huu umefanikiwa sana,serikali isipo tumia busara watoto watamaliza hawajui kusoma tena,pia tunatarajia dv 0 nyingi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.