Recent content by chiwaj

  1. C

    JamiiForums Tanzania Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

    udini huo upuuzi kabisa mungu hajaumba waislam tofaut na wakristo wewe unaejua mungu kua wa wakristo na waislam peke yako unaupungufu wa fikra
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    mi naona kujengea makabr ni vizr ila gharama ziwe za kawaida ili tu kuweka kumbukumbu za ndg zetu walio tangulia mbele za haki kwa sababu kwa wa katoliki wana amini katk maandiko kua petro ndio mwamba na juu yake litajengwa kanisa na ndipo lilipo kanisa kuu zaid la wa RC dunian makai makuu ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mavazi katika ofisi za Umma: Utumishi watoa mwongozo

    huyu analeta mambo ya udini tena wanazungumza mavaz yeye ameanza conversation za kidin watu wa ajab bwana!!!!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    nmeona alivyoomba mwenyewe kifo chake kipambwe namna gan cjui kama wachina watamrudisha mazishi yafanyikie iringa au dar kama alivo dhan hzo pink na purple watavaa wachina cku yenyewe
  5. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    nenda dada kakutane na muumba wako coz naona cku zmefka wachina hawana mchezo na hili lkn kama umetumwa na bwana mkubwa tutawatishia wachina kuwaondoa otherwise wakurdishe tufanyie case nyumban
  6. C

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Kifo cha hayati nelson mandela ndio habari kubwa ya mwaka 2013 si kwasababu alikua rais msitaafu wa afrika ya kusini bali ni kwa harakati zake za ukombozi wa waatrika na usawa kwa watu wote duniani na hii ndiyo sababu kubwa ya mimi na waafrika wezangu tunaishi duniani tukiwa huru nikutokana na...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuweni macho na mdada huyu

    nani anakula nauli za watu???!!!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    dini ukabila kila kukicha kama mnayatoa misikitin na makanisani ni bora watu wafanyie ibada nyumban mbona wenye miziz ya dini hawayaongei haya yataften mtayapata mwisho wake ni watu kuuana bure mwarabu kaleta uislam na mzungu kaleta ukristo bac fanyen kila mtu kwa iman yake na weng wetu tumethi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    chadema juuuu, kilimanjaro juuuuu zaid
Back
Top Bottom