Recent content by Chivundu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yana njia nyingi za kuku-humble. Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic

    Sio vipande vya mwili, sema majivu "ashes" . Hakuna vipande hapo. Wamezoa mabaki ya majivu mafungu mafungu kwa ajili ya utambuzi wa DNA. Ndege ilishika moto hiyo; mafuta ya ndege hayabakizi kitu. Baada ya kuwatambua kwa DNA, wataweka majivu hayo kiduchu kwenye sanduku na ndio yatazikwa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hyundai wamezindua 5th Generation ya Tucson: Rav 4 Should Watch its Back!

    Ajiongeze aachane na mafuta, aweke mota na betri. 😊
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Hilo jinga mkuu! 😊
  4. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri: Tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa

    Kugoma kufanya kazi kunaambatana na adhabu. Hilo la pili, linaweza kufanyika.
  5. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Mkuu kifo huwa kinakuja kukatisha maisha kipindi unayahitaji sana.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Chica nakusalimia. 😊
  7. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Kabisa mkuu, kuna ndumba aisee. 😊
  8. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Chopa sio. Marehemu Magufuli enzi akiwa waziri wa ujenzi chini ya Raisi Kikwete, wakapanda chopa yeye na Mkuu wa Mkoa, Sadick kukagua athari za mafuriko Dar-es-salaam, kitu kikapata hitilafu, bahati tuu chopa haikua juu sana. Waliponea padogo sana.
  9. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Bora tule bia tuu; ukiwa tajiri hela zinakuua, ukiwa masikini zinakutesa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Mimi ni masikini; lakini toka chopa/helicopter imuue Deo Filikunjombe na Kobe Bryant, sijawahi hamasika kama chopa ni usafiri wa kuaminika na salama. Anyway itakuwa ni mawazo yangu tuu ya kimasikini.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Chap tuu, bimkubwa yupo tayari kuuza chochote ili dogo amalize misala yake. 😊
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Ndio, hao watoto wa mama huwa hawakui. Anaweza fikia mpaka anazeeka mama yake anampiga tafu za maisha. Au anatoka home, maisha yakompiga anarudi home kwa bimkubwa, na bimkubwa anampokea fresh tuu. 😊
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Tajiri kila familia ina mtoto pendwa bila kujali yukoje! Kuna mtoto anakuwa pasua kichwa lakini ndio anakuwa kipenzi cha baba au mama. Inatokea tuu. Hata afanye msala gani, bimkubwa au mshua atasolve huo msala. Atapewa hiki anaharibu, anapewa kingine, huwa tunawaitq watoto wa mama. Akiguswa tuu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

    Waajiri wanaotaka miaka 35+ na uzoefu wa miaka 10, huwa wapo sahihi, wanataka umri flani wa mtu wenge linakuwa limemuisha.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Hapo wa kumpa pongezi ni rubani. Kwa kubaini tatizo na kuchukua hatua sahihi, kwa muda sahihi, na kuibakiza ndege chini.
Back
Top Bottom