Recent content by Chiveruka

  1. Chiveruka

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Momba Songwe nije Chunya Mbeya idara msingi
  2. Chiveruka

    Tukio la kutekwa kwa Mo Dewji: Maelezo ya shuhuda (dereva wa Uber) na kamanda Mambosasa mbona kama yanatofautiana?

    Hii nchi anayelindwa kwa nguvu zote ni mkuu wa nchi tu sie wengine wote takataka
  3. Chiveruka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi wakuu ukitaka kudeposit 1×bet namba ya kumbukumbu ya malipo pale naweka namba gani
  4. Chiveruka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari wakuu nmedownlod app ya 1×bet lakin inagoma kufunguka
  5. Chiveruka

    Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Poa poa shukrani mkuu
  6. Chiveruka

    Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Hivi inakuwaje mtu anaweka status video hadi ya dakika 2
  7. Chiveruka

    Eti Katibu wa CCM anadai Dar imekuwa ya mwisho kuzalisha mazao ya kilimo, ikiwemo Arusha na Mbeya. Hivi viazi, ndizi vinatoka Dodoma?

    [emoji23][emoji23][emoji23] ni mpango wa serikali ya awamu ya tano kuigeuza dodoma kuwa jiji la kibiashara na dar kuwa jiji la kilimo
  8. Chiveruka

    Mgombea kujengea mafisadi gereza la ghorofa

    Hahaha hapana bwana huyu si mgombea wa SAU na mzee wangu Rungwe ni mwenyekiti wa CHAUMA
  9. Chiveruka

    Mgombea kujengea mafisadi gereza la ghorofa

    Huyu ndo wakumpa kura sasa
  10. Chiveruka

    Mbosso hapendwi lakini nyimbo zake ndo tunalala nazo

    Makada wa WCB bwana wapo kama makada wa ccm tu wanakubali na kisifia kila kitu hata kama kibovu
  11. Chiveruka

    Jina la "Magufuli" liandikwe katika moja ya ndege kubwa

    Tutachafua bure ndege za walipa kodi hilo jina hadhi yake ni huko huko kwenye madaraja tena ya kienyeji kama hilo la moro ila kama lile la kigamboni lina hadhi ya nyerere
  12. Chiveruka

    Jina la "Magufuli" liandikwe katika moja ya ndege kubwa

    Sasa mbona kuna daraja huko morogoro linaitwa daraja la magufuri huoni kama hiyo nayo ni kumbukumbu tu
  13. Chiveruka

    Jina la "Magufuli" liandikwe katika moja ya ndege kubwa

    Wewe hata ukizaa mtoto muite magufuli hapo utakuwa umejivunia na kumkumbuka rais aliyebadilisha maisha yako
  14. Chiveruka

    Hivi leo Mwalimu Nyerere angekuwepo angejisikiaje?

    Angeumizwa sana na uteuzi wa kangi kuwa waziri
Back
Top Bottom