naomba kufahamu kituo kizuri kwa wanaorudia mitihani chenye hostel kati ya morogoro na dsm naomba tusaidiane maana kijana wangu kaharibu vibaya yaani hata ngazi ya cheti hapati.
nimehangaika muda mrefu kutafuta kazi nilipga interview nyingi mpaka nikawa nikipigiwa simu ya interview hata sina wasiwasi ikawa ndo kama maisha yangu kupga interview daily,mwaka jana nikaomba utumishi nikafanya interview duce halafu library matokeo yakawa hola nikaitwa tena mwl nyerere...
wewe mwenyewe unauwezo gani wa ku analyze unaropoka tu kutafuta sifa na humu hakuna hata mtu aliyekusuport kwa kauli yako huyo nikijana mwenzetu hata kama kafanya kosa anatakiwa apewe adhabu ambayo itamfanya ajirekebishe sasa unavyotaka anyongwe atarekebisha vp makosa yake?usichotaka kikufike ww...
hizo ndege kabla hazijakamilika israel ameshatuma maombi na yeye apewe angalau moja tu zitakapokamilika wala hana mpango wa kuumiza kichwa na hatoi hata mia anasubiri mzee akishakamilisha apewe msaada.
hao vijana kwani huo unga wanalishwa kinguvu,wenyewe wamekata tamaa ya maisha na sisi tunawaletea tu,eti ungekua karibu ungemlima risasi hao walomzunguka wote wanazo risasi mbona hawajampga sababu wana akili timamu.
hyo dawa ipo kuna jamaa yangu anatoka handeni kuna sehemu inaitwa chanika anakuja tarehe 28/2/2013 anakuja dsm kwa shughuli hyo tu kuna mabosi wenye vibamia wamemtumia nauli aje tena ukimpata hapa dsm utapunguza gharama kwanza umeletewa huku dsm tofauti na wengne wanaenda tanga kuzifuata.uzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.