HAPA NI AKILI NDOGO NDIYO INAYOSUMBUA!
Wakati anayasema haya, Tundu Lisu alinukuu kitabu ambacho kipo mitaani siku nyingi sana. Hivi ndo kusema kitabu hicho walikuwa hawajakiona hadi kumjia juu hivi? Kwa nini huyo mwandishi hakujibiwa mara tu alipotoa chapisho la kitabu hicho?
Huyu anayejiita...
Watatatua kero zipi na kwa bajeti ipi? Tuache kuwabebesha watu mizigo wakati tatizo ni mfumo, sera zetu na vipaumbele vyetu.
Jana kulikuwa na malalamiko ya wananchi wa Mkoa wa Tabora mbele ya Kinana. Ni lipi ambalo alilitatua kama si kupiga siasa na kutoa ahadi ambazo anajua fika kuwa...
Inashangaza sana Watanzania tunavyoichukua hii issue kishabiki badala ya kusimamia maslahi ya Taifa. Hivi sifa zote hizi kwa Zito na Nchemba bila kuwa na majibu ya fedha hizi zitarudije na hatua gani zitachukuliwa kwa wahusika zinatusaidia nini kama Taifa?
Vile vile wale ambao huwa wanaandamana...
Kwa kweli Mtetemela amejiabisha sana. Ameonyesha kuwa ni Yuda kwa kuisaliti Tanganyika nchi aliyozaliwa. Aibu sana kuwa Msakatonge.
Sasa nimeanza kujua kwa nini baadhi ya waislam hawataki kusikia habari ya BAKWATA!
Tatizo ni ufuatiliaji. Yameshatolewa matamko mengi sana lakini hakuna ufuatiliaji. Mfano Level seat kwenye daladala, nani anaikumbuka kwa sasa?
Tuache kukurupuka katika kutoa matamko wakati tukijua hatuna ubavu wa kufuatilia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.