Recent content by chipuputa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Mtoa mada mwenyewe anaitwa sexless[emoji3] [emoji3]
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Kampuni za Uturuki na Ureno zashinda tenda ya ujenzi km 400 reli ya kati

    Its true, huyo hajui miradi ya ujenzi inavyokuwa kichwa yake imejaa ushabiki wakijinga nakipumbavu. Huwezi ukalinganisha gharama za miradi tofauti bila kuona BOQ zake
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Yaani tunaanza kuulizana kabila ili iweje?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

    Duuh! Hataree
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamani njaa inauma
  6. C

    JamiiForums Tanzania 40% ya wadada wanakula pweza kila siku, wameshitukia nini?

    Duuh! Ndo nakuckia wwe wa kwanza tangu niwajue pweza
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Arusha wanakuja watu wakubwa wa dunia kimya kimya na wanaondoka kimya kimya

    Ulitaka atangaza halfu ajijazie inzi?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mzuri kisura, sitaki kumruhusu kwenda kujiendeleza kielimu

    Sasa what if ukipata safari ya mbali ya ka mwezi hv(i.e jiulize). Ukiendekeza mawazo hayo kufanikiwa kimaisha inakuwa ngumu kweli
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kuoa mwanamke anayekuzidi umri?

    Vp kuhusu kipato na Elimu amekuzidi pia? Kama ndio siku shauri kumuoa
  10. C

    JamiiForums Tanzania TCU na NACTE kunani?

    Poyee ndo matatizo ya Website zetu za kibongo i. e watu hawapo serious
  11. C

    JamiiForums Tanzania Toa marks zako kati ya kumi kwa sura hizi ambazo ni common kwa jamii yetu bongo

    Nilikuwa namaanisha namba 11 wajemeni
  12. C

    JamiiForums Tanzania Toa marks zako kati ya kumi kwa sura hizi ambazo ni common kwa jamii yetu bongo

    Namba 4 hata baki kuwa juu, acha yule mzee apagawe
Back
Top Bottom