Kama wasaidizi waliweza kumpinga unasemaje alitawala mbumbumbu, Nyerere ndiye Rais pekee aliyekutana na majaribio ya kweli ya kutaka kupinduliwa, unasemaje alitawala mbumbumbu?
if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.