Recent content by chipalila1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada, mtoto wangu hatembei

    Mkuu nashukuru kwa sasa anatembea japo hajakaza sana, bado anapepesuka
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    yaani Network locked
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    call, wifi ina connect vzr
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Ahsante sana Mkuu.Kama una namba ya fundi Mzuri naomba contact ili nimtafute
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Simu nilinunua online muuzaji alidai ni unlocked but ilivyofika ikawa haisomi network
  6. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Naangaliaje kama imelockiwa kwa network gani?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    shida ni net Mkuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Haina shida ya hiyo passcode na icloud shida yake ni upande wa network
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Natofautishaje Mkuu kama ni Passcode au icloud?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Wataalamu nina iPhone SE, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya unlocking anicheki pm.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji wa Serikali

    Ndiye aliyeanzisha uzi huu,. ana ID nyingi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatesa watumishi wa Serikali

    Hii awamu ni balaa watu wanapiga sana.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatesa watumishi wa Serikali

    Hii bodi ya Mikopo ni kichaka cha ufisadi, Jamaa wanapiga kinoma
  14. C

    JamiiForums Tanzania Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

    Nadhani Bank za Tanzania zitakuwa zimezuiwa kufanya miamala ya forex, Nilijaribu kudeposit kwa kutumia card yangu ya Equity na CRDB kwenda hotforex sikufanikiwa, wakati nilikuwa nafanya deposit bila shida.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    weka picha ya hizo rims
Back
Top Bottom