chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Wataalamu nina iPhone SE, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya unlocking anicheki pm.
Passcode au iclooud kama passcode ni simple kama ni icloud hilo siwezi kukusaidiaWataalamu nina iPhone SE, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya unlocking anicheki pm.
Natofautishaje Mkuu kama ni Passcode au icloud?Passcode au iclooud kama passcode ni simple kama ni icloud hilo siwezi kukusaidia
icloud itakuwa inakudai password ya ID/email uliyo sign up kwenye icloud au vyote viwili email na password. Passocode ni zile namba unazotumia kufungua sim ikiwa imejilock au ukiiwashaNatofautishaje Mkuu kama ni Passcode au icloud?
Haina shida ya hiyo passcode na icloud shida yake ni upande wa networkicloud itakuwa inakudai password ya ID/email uliyo sign up kwenye icloud au vyote viwili email na password. Passocode ni zile namba unazotumia kufungua sim ikiwa imejilock au ukiiwasha
shida ni net Mkuu
Imelockiwa kwa network ganiHaina shida ya hiyo passcode na icloud shida yake ni upande wa network
Naangaliaje kama imelockiwa kwa network gani?Imelockiwa kwa network gani
shida ni net Mkuu
Simu nilinunua online muuzaji alidai ni unlocked but ilivyofika ikawa haisomi networknetwork ina shida gani? basi tumia wifi na kama umesahau icloud uliyofungulia mwanzoni kabisa yaani namaanisha kipindi unanunua simu basi unatakiwa ukauze tu kama spare
Sent using Jamii Forums mobile app
La kufanya ni kulipia unlocking service kwa iphone inakuwa gharama hasa kama simu itakuwa bado kwenye contract na hasa kama imelockiwa kwa Verizon network. Cheapest way ni kutumia Gevey utapata kariakoo kwa 25000Naangaliaje kama imelockiwa kwa network gani?
Ahsante sana Mkuu.Kama una namba ya fundi Mzuri naomba contact ili nimtafuteLa kufanya ni kulipia unlocking service kwa iphone inakuwa gharama hasa kama simu itakuwa bado kwenye contract na hasa kama imelockiwa kwa Verizon network. Cheapest way ni kutumia Gevey utapata kariakoo kwa 25000
Network ya upande gan calls au internetSimu nilinunua online muuzaji alidai ni unlocked but ilivyofika ikawa haisomi network
call, wifi ina connect vzr
inamaan ukitaka kutumia data za sim card ndo inagomacall, wifi ina connect vzr
Dhaaa i Phone unanunua onlineSimu nilinunua online muuzaji alidai ni unlocked but ilivyofika ikawa haisomi network
yaani Network locked