Recent content by Chintu

  1. C

    Tetesi: Yawezekana Ndani ya mwezi wa Tisa 2025 Jamaa anaachiwa Huru

    Rome said "...aachiwe bila masharti" mama akakimbilia msikitini na kwa Mwamposa kujifariji na mashehe ubwabwa na mitume feki. Hii issue is too tall for her. akiendekeza anayoambiwa na JK mtu ambaye hana hata uwezo wa kudhibiti tamaa za familia yake AMEKWISA!
  2. C

    Nini kinachofanya Rostam, Kikwete na wana mtandao wengine hadi leo wasikamatwe?

    Amini amini nakuambia. Siku TAL atakapochukua nchi, utamtafuta Rostam Tanzania nzima hadi Zanzbar hutamuona
  3. C

    Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Mpina si ni "kazi maalum" aogope nini sasa wakati yupo kazini?
  4. C

    GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

    Kwa hiyo Kikwete ndo anataka kujifanya Nyerere? Mtu ambaye ameshindwa kudhibiti mke wake na mtoto wake wote kawaingiza kwenye uongozi. Unadhani Nyerere alishindwa kuwaingiza watoto wake au mke wake? Nyerer alijua Taifa hili lina mamilioni ya watanzania haiwezekani mkatengeneza uongozi wa...
  5. C

    Hii Hapa Link ya Polepole Conference

    Zoom maCCM yameingia na yameacha mike on yanapiga kelele. Polepole hasikiki kabisa
  6. C

    Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Ni bora ameomba ukimbizi. ...Hivi unafikiri mafele amejisikiaje?
  7. C

    Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Kwenye nchi hizi zetu masikini zilizokithiri ufisadi, ulafi, matabaka na ujanja ujanja mwingi, hakuna namna utafanikiwa kuongoza kwa kutumia demokrasia. Ukiwa kiongozi sahihi na mwenye maono utalazimika tu kutumia udikteta ili kunyoosha mambo. Ndiyo maana pamoja na risasi zake wananchi bado...
  8. C

    Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Tangia mwanzo Polepole alionesha tofauti na Mama. Hata kupewa ubunge na kutumwa ubalozi ilikuwa kama njia ya kumuondoa au kumyamazisha. Polepole hakutofautiana na JPM kama ambavyo watz walio wengi hawakutofautiana naye kwa sababu JPM alikuwa na udikteta wa kuleta discipline serikalini na...
  9. C

    Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Watanzania wanahitaji Dikteta aina ya JPM sio Demokrasia aina ya mama. Ndio maana pamoja na list yako ndefu ya kumdermonize JPM, waliomchukia wanahesabika waliomkubali hawahesabiki na wameongezeka zaidi baada ya JPM kufariki. Udikteta wa JPM ulikuwa na lengo la kuirejesha nchi kwenye discipline...
  10. C

    Tetesi: Lissu anaumwa

    Dah! Naikumbuka kauli ya Mtikila "...Mpaka wetu na Zanzbar ni bahari"
  11. C

    PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

    Kwa kweli hili jabali lilitulinda sana. Lakini hili li Tundu Lisu hili hata ukilipa mabilioni halikubali. We fikiria Abdul alivyotimuliwa na mabegi yake.
  12. C

    Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Mama yupo busy kufungua milango iliyokuwa imefungwa na Dikteta
  13. C

    Shujaa Magufuli aliwalipia faini viongozi wa CHADEMA watolewe Jela, lakini leo hii Mwenyekiti mstaafu anashindwa kufika kwenye kesi ya Tundu Lissu!

    Kumbe ule msaada ilikuwa hongo? kwamba akiona mihela ya Abdul inaharibu nchi amezee tu? ...kuna watu bora ukae na mihela yako tu. Huwa hawahongeki. Mbowe sasa hivi anajilia mihela yake na wala hajisikii kuhukumiwa nafsi. Ila Msigwa sidhani kama ana amani huko aliko - nadhani atakuwa anaugulia...
  14. C

    Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

    Hivi TISS inaweza kumdhibiti RAIS? kwa sababu kama ni kweli basi TISS ina shida. au wanaojaribu kumdhibiti ndo wanatimuliwa kama alivyotueleza Gwajiboy.
  15. C

    Tanzanian Activists Storm U.S. Congress Over Human Rights Violations

    Ngoja mama akipata taarabu ya kuwasutia -atawajibu. ....ivi kuna taarabu ya kingereza?
Back
Top Bottom