Habari..Kwanza kabisa tunapoongelea ufupi tujuwe kila mtu ni mrefu na mfupi kwa mwingene..Kimo cha mtu kuitwa mfupi ni tafsiri ya jamii inayo wazunguka...Anaweza kuwa mrefu Njombe but akawa mfupi Uchugani hivyo basi
Kama weusi walilivyo pigania ubaguzi wa rangi 😆 Nawafupi wanahaki ya kuchukia...
Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement?......Sasa unazani wanatafuta nini? Kama sio graduate mbona qualification ni za Proc....acha kukatisha watu tamaaa
😁😁😁😁 Kuna sehemu nimesema sina kazi?? Sema sijaingia serikalini haimaanishi sina kazi dah Akili mu kishwa hamna kitu....Iyo NTA level 5 tunaangalia chance za utendaji tu ili tupate cheque number so kila anae omba ushauri na kuuliza humu unazani Kachoka hana kazi....ACHA AKILI NDOGO IYO🤣🤣🤣
Hii kitu uliandika kwa kukurupuka mzee sio kila kitu unajuwa ...23 august Tigo wametoka kutangaza nafasi ya Procurement (SCM)
Mda mwingine mfanyage na reseach sio kukurupuka tu kama hujuwi waache wajibu wanaojuwa.....
Yani ndugu kujifanya unajuwa sana kumbe hamna kitu sheria kupindishwa ni kukosa uadilifu kwa viongozi ila haimaanishi procu haina maana serikalini..Why juzi tu wameanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa NeST....
Oooh vodacom hakuna watu wa manunuzi Fuatilia utajua SCM ni akina nani😆😆😆😆
Habari wakuu,
Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI.
Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
Hlw guys..
Fursa ya shamba lenye ukubwa wa hekali 239.16 linauzwa; Location "SHAMBA LINAPATIKANA KWADOYA VILLAGE HANDENI DISTRICT"
KATIKA SHAMBA HILO HEKALI 2 ZIMELIMWA MITI YA MITIKI..
DOCUMENT ZOTE ZIPO
CALL US 0739248371
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.