Cha ajabu wafanyakaz wa ofisni kwako wote unawajua majina ila anayewalea watoto wako na kuhakikisha ulinzi wako unakwepa kujua jina lake, subiri mwanao apate utapiamlo utajua jina lake hadi ukoo wao.
Dr. Habari? Mwenzi wangu anasumbuliwa na matatizo kadhaa kama ifuatavyo:-
1. Mzunguko wa hedhi hauko sawa, inaweza pita miez had 3 hajapata na akipata inakuwa mfurulizo hadi wiki, na pia inaweza kutokea tena ndan ya siku kabla ya mwez kuisha.
2. Maumivu ya kiuno hasa wakati wa haja ndogo...
Nina huawei y300 kila nkitaka ku-install Apps kutoa play store inaniambia space ndogo wakat kuna zaid ya mb 140 internal na zaid ya 180 kweny sd sasa cjui tatzo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.