Recent content by Chinekeee

  1. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua biashara ya LUKU

    Nenda ofice za tanesco ubungo au magomeni watakupa utaratibu
  2. Chinekeee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Narefusha nyeti

    Mi nataka kama ya farasi mkuu vp inapatkana?
  3. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania nasikia hili ndiyo vazi la taifa. huku kila mtu analo, vipi huko?

    Mambo ya southafrica hayo
  4. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Na waliogawana hula za umma wakati MSD inaidai serikali na kuwaacha wananchi wanakufa maospitalin kwa kukosa DAWA wao wamefafaje???
  5. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Jaman kweli mnagawana hela na magunia wakati wenzenu hata za kuweka kwenye walet hatuna kha!
  6. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi

    Sare sare mauwa anayekuja naye utatraaaa
  7. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Mkubwa na wanawe

    Yaani huyu bibi bomba ananiudhi .........kha
  8. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Truth about Ebola

    Mungu atulinde
  9. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Ni kweli kabisa mkuu ila kama unavyojua tunakimbizwa na maendeleo na tecnolojia so si dhani kama huu ni muda muafaka wa kufanya hivyo....asante
  10. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Ofis zetu zipo mikochen .na kama tukikubaliana na mteja architectural designs huwa tunafanya na kumpa options pia tumejenga mbili zipo nyerere ..kama unahitaji maelezo zaid karbu PM asante
  11. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Sasa mbona hujauliza
  12. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Hahaha netwrk kidogo ilikiwa inasumbua haya uliza ujibiwe asante
  13. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Inawezekana Mungu akupe nguvu Amina
  14. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Kwanza kbsa ningependa kukueleza kuwa unaweza kujenga gorofa hata 10 kwa kutumia vyuma...na inafaida kubwa coz una save more than 30 to 40% ya material .pesa .na muda ukilinganisha na kutumia zege
  15. Chinekeee

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa majengo ya chuma steel erection

    Habari zenu wakuu najua mmekuwa mkiona majengo mengi ya chuma yakijengwa hapa mjini ila wengine hawajui yanatoka wapi na yanajengwa vipi so nawapa nafasi ya kuuliza chochote kuhusu majengo hayo
Back
Top Bottom