Sasa kwa wafanyakaz,huo mshahara mpka ufike kwako tayari umekatwa kodi lukuki,tena ukikaa nao sana wanauchukua? Hawa mbona wezi hivi hawana huruma na watu😭😭😭
Hizo elfu 7 mnazopewa per day zinamwishoo wake,huwezi kukemea utekaji alafu usimtaje mtekaji,na huyu mama hamumsaidii mnazidi kumuumiza maskini mpka namuonea huruma,vijana na nyie mnatumika kama pawn ♟️ tu
Kama unatizama filamu za hawa watu,basi siasa za Tanzania utazielewa vizuri sana,na kama mfuatiliaji vizuri basi utaweza hata kutoa utabiri kinachofuata ni nini
Kwa tulipofikia sasa,hata shetani akijitokeza kupambana na dhulma na ukatili unaofanywa na watawala tutampa full support,njia pekee ya kumtenganisha gwajima na wananchi ni nyie sisiemu acheni kuteka na nmrudishe mliowachukua waungane na familia zao
Labda kama umeanza kumfaham geajima juzi ndo utamuita "mganga njaa"... Lakini inawezekana kweli akawa ni "mganga njaa na anatafuta tiba ya njaa yake".... Waambie maboss zako WAACHE KUTEKA WATU NA KUUA DAMU ZISIZO NA HATIA
Mimi ni muislam,lakini na support anachokipigania gwajima,yes anaweza akawa na chuki na waislam lakini kwenye hili tum support....waache kwanza kuteka na kuua watu kama kuku then tutarudi kwenye vita na yeye kwa nn ageuze msikiti uwe Sunday school
Sitachangia kwa lisu sababu sijaona hoja yako kama ina mashiko, ila kwa upande wa Gwajima alikua wapi siku zote?
Yes mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize hili swali why now? Yeye ndo anamajibu sahihi zaidi, ila ukiangalia matukio ya utekaji kipindi hicho yalikuwepo ila sasa ni mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.