Recent content by Chindembwike

  1. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Mji mkuu wa China, Beijing, umeanza kufanya elimu ya Akili Bandia (AI) kuwa ya lazima kwa wanafunzi wakiwemo wale wa shule za msingi

    Hongera kwao hapa Tanzania Kuna mada nzuri sana darasa la Nne kwenye sayansi Coding ila sidhani kama linafundishwa kitaalamu....
  2. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya tamasha kubwa la kufanya ngono nchini Uingereza yameanza, wakazi walalamika

    Naaaam...tuelekee Lincolnshire
  3. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha F-35 za Israel husikika kama ndege zishajiondokea, hamna radar huzigundua

    Kila mtu na vita yake...afu Ukraine naye mwamba tu maana hatujui kama operation Ukraine imefanikiwa au lah
  4. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha F-35 za Israel husikika kama ndege zishajiondokea, hamna radar huzigundua

    Najiuliza kama wanadema Najiuliza kama wanasema myahudi anasaidiwa...kwanini wasiamue moja tu nchi zote mashariki ya kati wapige mitulinga kuelekea nazareth...maana mzayuni pamoja kuwa kadogo kuna kipindi wataacha hata kumchokoza....siwapendi Israel ila nafurahia dozi wanayogawa...
  5. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Aiseee mjomba ubarikiwe sana....Tatizo ilikuwa kupata iliyo nzuri...
  6. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Asante sana
  7. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Jamani mi napenda sana zile za Historical drama na ni mgeni hapa jamvini naombeni series kama 10 tu kali yao nianze kuzitazama.....
  8. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

    The Brave
  9. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Jipatie Movies na seasons mpya kutoka Mabibo

    Vyema kabisa
  10. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

    Sijaona palladium hata moja Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
  11. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania What is Mtafaruku

    Hahahah mtafaruku....
  12. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Mzee wa Glorious mke wangu anammaindigi sana kisa lile song la kuingilia...ila the viper amekuwa zilipendwa finishing yake ndo inakuwaga kipigo chake kwa mjanja mfano Rusev alimpatiaga sana.....
  13. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wazee nataka kudownload kutoka kissassian.ch lakini kila ninapoweka option ya kudownload inanipeleka kwenye page mpya na inashindwa kupakua
  14. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Game nzuri za action & mission

    D day commando
  15. Chindembwike

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Kwenye Kontena yanaruhusiwa hapa nchini?

    Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa
Back
Top Bottom