Recent content by CHIMPONGO

  1. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Natafuta Vits au Swift Number C

  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kununua

    Nina nyumba mbagala nzasa. vyumba 3 pamoja na masta, public toilet, dinning, sitting room na jiko. Ipo hatua ya ukamilishaji. Bei ni 38 milioni. 0787~341056
  3. C

    JamiiForums Tanzania APPLY NOW to the LEAD Project Investment Fund-Poultry and Maize subsector-Tanzania

    Nipo shinyanga na nahitaji kuomba, je waweza nipa details kidogo na mahali ofisi zilipo hapa shinyanga
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa kiongozi wa mbio za mwenge kupigia CCM Kampeni?

    Heshima kwenu. Nilikuwa nacheki habari nikaona kiongozi wa mbio za mwenge akiwa Babati anawataka wananchi wakichague chama tawala. Ni katika kujua tu. Asanteni
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

    Hakuna kipya vyote viliahidiwa 2005,2010.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Askari shupavu akifa, mapambano hayakomi

    Hongera kaka hii vita ni nzuri na mtashinda. Huku kijijini wananchi wapo tayari
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu kunusuru ndoa ya rafiki yangu

    Asante sana kwa ushauri. Nimepata mawazo ambayo nikichanganya na yangu nitamshairu. Naamini ndoa yao itadumu. Asante sana
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu kunusuru ndoa ya rafiki yangu

    Wadau habari, Mimi ni mgeni kidogo katika hili jukwaa.Kuna rafiki yangu ameoa na kujaliwa kupata watoto wanne,wameishi kwa amani kwa takribani miaka 8. Sasa miezi kama mitatu iliyopita kuna tabia mke wake kaanzisha ya kuongea na mwanaume mwingine katika simu.Alipokutwa mara ya kwanza...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nmb mobile na M pesa ni janga kwa wateja

    Nilihamisha pesa kupitia NMB kwenda M pesa ijumaa hadi leo sijapata kitu. Nimepiga simu huduma kwa wateja nmb wimbo ni subiri sibiri. Wahusika jirekebisheni kasoro hizi mtatukosa watumiaji wa huduma zenu
  10. C

    JamiiForums Tanzania China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Hapa naona CCM imechemka kwani kumtumia barozi ambaye ni kuishiwa mbinu tusije tukawaita makamanda wa jeshi wa nje kisa kuwaaminisha bado tunapendwa, nilishuhudia mkutano wa Kishapu hakika CCM imepoteza mvuto na umakini.
  11. C

    JamiiForums Tanzania China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Hapa naona CCM imechemka kwani kumtumia barozi ambaye kuishiwa mbinu tusije tukawaita makamanda wa jeshi wa nje kisa kuwaaminisha bado tunapendwa, nilishuhudia mkutano wa Kishapu hakika CCM imepoteza mvuto na umakini.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Je Higher Diploma ni sawa na Adv Diploma?

    Wana bodi habari zenu? tafadhari naombeni mwenye uelewe na mfumo wa NACTE au TCU anijuze yafuatayo. 1. Higher Diploma ni sifa ya kielimu sawa na Adv Diploma.? 2. Kama ni sawa au sio sawa je mwenye sifa ya Higher Diploma aweza kusoma Postgraduate Diploma kwa mfumo wa elimu yetu hapa Tz? 3. Kuna...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dada yake na aliyekuwa Diwani wa kata ya Kasanga aliyefariki jana naye pia afariki Dunia leo

    Da poleni sana wafiwa, Mungu awapumzishe pema peponi
  14. C

    JamiiForums Tanzania uongo wa CCM na matumizi mabaya ya vyombo vya habari Chato

    Ninashaka na uamuzi wao kama ni kweli. Watu 150 wangeweza kufanya makubwa badala ya kujikabidhi kirahisi hivi. Mbona wanakoenda ahadi nyingi hazijatekelezwa? Tungetekelezewa yote tusingeshuhudia mgao UMEME
  15. C

    JamiiForums Tanzania Margreth Sitta - Kufeli kwa wanafunzi kunasababishwa na Serikali kutowasikiliza Walimu

    Kuna waziri alishasema kama walimu wanaona ualimu hauwalipi wafanye kazi nyingine zinazolipa naona wameamua kutekeleza kauli hiyo ya waziri. Na katika hiyo tume kila matendo/kauli za viongozi zilichangia kushusha ari za walimu na wanafunzi wawajibishwe mfano ..kupata minda kwa wanafunzi ni...
Back
Top Bottom