kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 7,759
- 14,474
nami nasema mwache huyo ni punguani
sio uonevu dadangu, haya mambo huwa ni magumu sana.....mwanamke hata umgonge katereroo... utamu ataupata haswaaa.... ila kama ni kiruka njia na mahaba alishaelekeza kwingine,,,, futa delete songa mbele....maisha hayasimami kama ukuni!!Kama unamgonga akasikia na ukaina unatendea haki ile kitu unahaki ..ila kama unagusa suga my dear nimwonevu wewe
sio uonevu dadangu, haya mambo huwa ni magumu sana.....mwanamke hata umgonge katereroo... utamu ataupata haswaaa.... ila kama ni kiruka njia na mahaba alishaelekeza kwingine,,,, futa delete songa mbele....maisha hayasimami kama ukuni!!
mwanamke usipojitambua utaachwa tu!!..... Kama umefikia hatua ya kuzaa watoto wanne bado unataka uendelee kugawa wuchi nani atakuthamin, nan atakuheshimu kama mke? Hapo lazma nikunyanyase balaa.
Hivi kweli kweli unacheat niendelee kuwa na wewe, kila mtu chumba chake, hiyo ndo hatua ya kwanza then unafikiria wat next it's ur life. Uchague amani au vita.
Mbona nyie mnacheat?
So hata mwanamke kuteleza kama wewe inawezekana.
Tusipende kufanya maisha yazidi kuwa magumu?
dada angu, wala siyafanyi kuwa magumu,,, but mie ndo nilikuja kwenu kuleta posa.....na sihalalishi kucheat....ila hata kama ni vielelezo ambavyo havijakamilika......we close the deal..... tutaongea ya watoto tuu......let ask u,,, mbali na kucheat kama anaenda mlingotini pkukuharibu akili na mipango yako,,,, but Mungu yupo on ur side then umeng'amua......hili jee??? tulee watoto bibie.....only that.....sihitaji wala vikao.......namaliza kimya kimya..
Upumbavu Huo.Umuache Mkeo Uliezaa Nae Watoto Wa4 Kwasababu Ya Simu Tu.Ya Kazi Gani Kujitia Presha Na Mwanamke Uliekwisha Mzalisha Watoto Wa4?.Amuache Na Wala Hata Simu Yake Hasiguse Hata Kama Akiiona Mezani Inaita.
Na Sio Simu Tu Hata Kama Angejua Anagegedwa Na Jamaa Wala Hasijisumbue Kumfatilia.Ili Mradi Uchafu Wake Haufanyii Ndani Kwake.Hakuna Haja Ya Kuangaika Nae.Amwache Akimaliza Mambo Yake Atarudi Nyumban Kulea Watoto.
Nikuambie kitu my kaka....Sio kila mawasiliano tunayofanya nje lazima yaishie kugawa uchi. Naweza kuwa nakosa vitu vidogo tu na vyepesiii ila mume hawezi kunifanyia. Saingine ni vimaneno flani tu vya kichokozi. Mengine namalizia kwa mume.
Ndio maana utakuta mtu (iwe ke au me) ana ndoa ila yupo busy anachat na mtu yupo Kampuchea huko, hana mpango wa kuonana nae kabisaaa!!
Unajua anakua anatafuta nini???