Recent content by Chimo


 1. Chimo

  Je, ni kweli Kanisa la kwa Neema jijini Mwanza lawaka moto

  Inawezekana maana nilipishana na gari aina ya Land cruiser Prado ipo mbio saana ikiwa inaishindikiza gari ya zimamoto maeneo ya Nera, makongoro road saa saba za usiku huu Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Chimo

  Niulize Chochote Kuhusu Uchimbaji Mdogo Wa Dhahabu Na Mambo Mengine Yanayohusiana Na Hayo

  Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu Chemical ya GD (gold Dixie) ambayo hufanyakazi kama Sodium Cyanide ila yenyewe Ni Green Friends Rafiki ya Mazingira Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Chimo

  Dhahabu ya mabilioni na mamilioni ya shilingi taslimu yakamatwa Mwanza!

  Bado Services levy ya Halmashauri hizi kazi wengi tumefunga Mwaka huu. Wakija kutoa Au kuweka Seal kwenye Elution wanakuja team nne tofauti. Madini, PCCB,Halmashauri na TISS Bado na Askari Polisi wa Kituo kilichopo kwenye Kata Au Eneo ilipo Hiyo Elution tena wanakuja kwa wakati wanaoutaka wao...
 4. Chimo

  Dhahabu ya mabilioni na mamilioni ya shilingi taslimu yakamatwa Mwanza!

  Ufafanuzi Kidogo Kwanza Kabisa Dhahabu Ukiipima kama hivyo kwenye Picha Utapata Uzani wa Ratili (Kilograms) Ila Thamani Sio Uzito Bali Ni Ghafi(Purity) unaweza kuwa na Kilo Moja ila Ghafi Ikawa Ni Grams 830 Au 900 nk Dhahabu nyingi kutoka Maeneo ya Mkoa wa Geita (Nyarugusu, Nyakagwe, Mgusu)...
 5. Chimo

  Dhahabu ya mabilioni na mamilioni ya shilingi taslimu yakamatwa Mwanza!

  Ufafanuzi Kidogo Kwanza Kabisa Dhahabu Ukiipima kama hivyo kwenye Picha Utapata Uzani wa Ratili (Kilograms) Ila Thamani Sio Uzito Bali Ni Ghafi(Purity) unaweza kuwa na Kilo Moja ila Ghafi Ikawa Ni Grams 830 Au 900 nk Dhahabu nyingi kutoka Maeneo ya Mkoa wa Geita (Nyarugusu, Nyakagwe, Mgusu)...
 6. Chimo

  Picha iliyozua utata duniani na kupelekea kifo cha mpiga picha

  Duh Hatari Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Chimo

  Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

  Hapa Kila Mmoja Atasema NYETI Alizoambiwa Haya Hebu Tumsome na Ngurumo Nae kwenye SAUTI KUBWA *EXCLUSIVE* *Revealed: Authorities in Tanzania want kidnapped billionaire’s wealth* THE twist goes on in the abduction incident of the Tanzanian billionaire Mohammed Dewji (Mo), as new developments...
 8. Chimo

  Haji Manara na wengine 18 waliokamatwa kuhusiana na kutekwa kwa Mo Dewji waachiwa kwa dhamana

  Saaana nilitaka akae ndani hata wiki atie Adabu mimi ni mwanasimba Ila huyu Jamaa anajiona hapa mjini ni kila kitu yeye. Yeye msemaji wa Simba, yeye msemaji wa CCM,yeye huyo huyo Msemaji wa Diamond leo kawa Msemaji wa Familia ya Dewji
 9. Chimo

  Haji Manara akamatwa, ahojiwa tukio la kutekwa Mo Dewji

  Kiherehere Chake huyo Kwa Masikio yangu na macho yangu nimemuona na kumsikia kwenye Mahojiano na ITV jana Akitamka kuwa yeye ni Msemaji wa Familia ya Mlezi wao na Mwekezaji wao Bwana Mohammed Dewj Mo. Matatizo mengine ni ya Kujitafutia tu huyu Jamaa naamini ni Mlemavu wa vitu viwili Ngozi na...
 10. Chimo

  Barrick Watangaza Kuuza Hisa kwa Shandong Gold ya China

  Habari ndio hiyo Mchina anakuja na Supervision yake ya Man to Man Kung Fu Nje Nje. Nimepita Kakola Mabango yote ya Accacia Yanatolewa
 11. Chimo

  Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

  Simba Aka mikia
 12. Chimo

  Tetemeko la ardhi lasikika maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria

  Kwa Kweli Kakola,Nyarugusu na Geita Limepiga ila Kwa Kakola na Nyarugusu Impact Ilikuwa Kubwa zaidi ya hata ilivyopiga kipindi Kile cha Maafa yalioikuta Wilaya ya Misenyi na Kagera kwa Ujumla
 13. Chimo

  Jinsi ya kurudisha contacts, sms, images, audios, videos n.k ulizofuta kwenye simu

  Nalipia kwa Njia gani Naomba Ufafanuzi